-
Jeshi la Israel liliua raia 357 Wapalestina mwaka 2021
Jan 02, 2022 01:07Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia.
-
Jihad al Islami: Kujitolea kikamilifu shahid Qasem Soleimani katika njia ya haki hakuwezi kusahaulika
Jan 02, 2022 00:56Kiongozi mmoja mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis kumefungua njia kwa vijana wa eneo hili ya kupambana vilivyo na wanaoendesha njama za kulazimisha kukubalika utawala pandikizi wa Kizayuni.
-
Muqawama: Israel italipa gharama kubwa kwa uvamizi wowote dhidi ya Aqsa
Dec 31, 2021 23:29Makundi ya Muqawama ya Palestina yamesema luteka ya pamoja ya kijeshi iliyofanywa hivi karibuni na makundi ya mapambano ya Kiislamu katika Ukanda wa Gaza ilikuwa na ujumbe wa wazi kwamba, shambulio lolote dhidi ya Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa litapelekea Israel kulipa gharama kubwa.
-
Abbas akosolewa kwa kujidhalilisha mbele ya Waziri wa Vita wa Israel
Dec 29, 2021 04:12Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekosolewa vikali kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maneva ya makundi ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 27, 2021 23:18Idara ya pamoja ya makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukanda wa Gaza ilitangaza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya makundi hayo yaliyopewa jina la "Al-Rukn al-Shadid 2" yalianza Jumapili iliyopita na yataendelea kwa siku kadhaa.
-
Muqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio kwa mafanikio kombora la Qassem-10
Dec 27, 2021 23:17Kundi la Kataaibul-Muqaawamatil-Wat'aniyyah la Palestina limetangaza kuwa limelifanyia majaribio kwa mafanikio kombora lililotengenezwa na wanamuqawama la "Qassem-10" huko Ukanda wa Gaza.
-
Onyo la Papa Francis kuhusu kimya cha walimwengu kwa jinai dhidi ya Palestina na Yemen
Dec 26, 2021 23:08Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusiana na kimya na kigugumizi cha walimwengu kwa jinai na masaibu yanayowakumba wananchi wa Yemen na Palestina.
-
Papa Francis aonya kimya cha walimwengu kuhusu jinai dhidi ya Palestina na Yemen
Dec 25, 2021 23:06Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusiana na kimya na kigugumizi cha walimwengu kuhusiana na jinai na masaibu yanayowakumba wananchi wa Yemen na Palestina.
-
Jihad Islami: Kukamatwa Mujahidina wa Palestina hakuzuii mapambano dhidi ya Wazayuni
Dec 20, 2021 23:06Harakati ya Jihad Iislami ya Palestina imetangaza kuwa kutiwa mbaroni maafisa na Mujahidina wa Palestina hakutazuia makundi ya muqawama kuendelea kukabiliana na uvamizi na vitendo vya kiuadui vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Abdollahian asisitiza msimamo wa Iran wa kuliunga mkono taifa la Palestina
Dec 20, 2021 01:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran itaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi pale mji mtakatifu wa Quds utakapombolewa na kuondoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.