-
Waigizaji maarufu wamuunga mkono mwenzao aliyewatetea Wapalestina
Jan 14, 2022 21:22Makumi ya waigizaji nyota wa filamu duniani wamejitokeza na kutangaza kumuunga mkono muigizaji mwenzao wa Uingereza, Emma Watson, ambaye hivi karibuni alishambuliwa vikali na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na kiongozi wa Hamas mjini Doha
Jan 12, 2022 01:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na Ismail Haniyeh kiongozi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
-
Namna alivyokamatwa ajenti wa Mossad katika mauaji ya mwanasayansi wa Kipalestina
Jan 10, 2022 23:08Hatua ya vyombo vya kiintelijinsia vya muqawama ya kusikiliza mazungumzo ya mmoja wa wahusika wa mauaji ya kigaidi ya msomi na mwanasayansi wa Kipalestina aliyeuliwa huko Malaysia imepelekea kukamatwa ajenti huyo Ghaza kufuata oparesheni ya wanamuqawama.
-
Mashahidi wawili katika siku moja; jinai zisizo na ukomo za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 09, 2022 00:09Wanajeshi na walowezi wa Kizayuni wa Israel siku ya Alkhamisi waliwauwa shahidi na kidhulma vijana wawili wa Kipalestina.
-
Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, wanapinga ufadhili wa Israel
Jan 07, 2022 23:19Zaidi ya wasanii 20 hadi sasa yamejiondoa kwenye Tamasha la Sydney 2022 kupinga mchango wa kifedha uliotolewa na ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini Australia kwa moja ya maonyesho ya tamasha hilo.
-
HAMAS yasisitiza kusimama kidete muqawama mbele ya uvamizi wa Israel
Jan 07, 2022 04:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, makundi ya muqawama hayataweka mikono yao nyuma na kutazama tu hujuma na jinai za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Palestina: Baadhi ya mataifa ya Waislamu yamekataa kufanya mapatano na Israel licha ya mashinikizo ya Marekani
Jan 06, 2022 00:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, baadhi ya mataifa ya Waislamu yamelikataa takwa la Marekani la kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Utawala wa Israel wabomoa kituo cha afya cha Wapalestina
Jan 04, 2022 23:06Utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa kituo cha afya na majengo mengine kadhaa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Jeshi la Israel liliua raia 357 Wapalestina mwaka 2021
Jan 02, 2022 01:07Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia.
-
Jihad al Islami: Kujitolea kikamilifu shahid Qasem Soleimani katika njia ya haki hakuwezi kusahaulika
Jan 02, 2022 00:56Kiongozi mmoja mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis kumefungua njia kwa vijana wa eneo hili ya kupambana vilivyo na wanaoendesha njama za kulazimisha kukubalika utawala pandikizi wa Kizayuni.