Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama

    Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama

    Aug 22, 2021 23:03

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds) vilizima njama na juhudi zote za kutaka kuipaka matope kambi ya muqawama.

  • "Kutowajibishwa Israel kumeifanya iendelee kukiuka sheria za kimataifa"

    Aug 18, 2021 08:23

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kutoubebesha dhima utawala haramu wa Israel kumeushajiisha na kuupa uthubutu wa kuendelea kukanyaga sheria za kimataifa.

  • Wapalestina 4 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina 4 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi

    Aug 16, 2021 03:10

    Askari wa utawala haramu wa Israel wamewaua shahidi vijana wanne Wapalestina kwa kuwapiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • UN yataka kusitishwa jinai za Israel dhidi ya wanaharakati wa Palestina

    UN yataka kusitishwa jinai za Israel dhidi ya wanaharakati wa Palestina

    Aug 12, 2021 08:22

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanaharakati wa Palestina.

  • Jihad Islami ya Palestina yasikitishwa na safari ya waziri wa Israel Morocco

    Jihad Islami ya Palestina yasikitishwa na safari ya waziri wa Israel Morocco

    Aug 11, 2021 22:51

    Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel nchini Morocco na kubainisha kuwa, ziara hiyo haikubaliki.

  • Katibu Mkuu wa Ansarullah: Saudia imeivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah kwa kuzuia kufanyika Hija

    Katibu Mkuu wa Ansarullah: Saudia imeivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah kwa kuzuia kufanyika Hija

    Aug 09, 2021 22:05

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa hatua ya utawala wa Aal Saud ya kuzuia kufanyika ibada tukufu ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kisingizio cha corona ni kuivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah.

  • Spika wa Bunge la Iran: Uungaji mkono kwa Palestina utaendelea hadi kukombolewa Quds

    Spika wa Bunge la Iran: Uungaji mkono kwa Palestina utaendelea hadi kukombolewa Quds

    Aug 09, 2021 07:36

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, taifa hili litaendelea kuunga mkono mapambano ya taifa la Palestina na mhimili wa muqawama hadi Quds tukufu itakapombolewa.

  • Ismail Haniya: Iran ndiyo roho ya kambi ya muqawama

    Ismail Haniya: Iran ndiyo roho ya kambi ya muqawama

    Aug 09, 2021 03:11

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo roho na moyo wa mrengo wa muqawama wa Kiislamu.

  • HAMAS: Marekani inaipa baraka Israel za kuendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina

    HAMAS: Marekani inaipa baraka Israel za kuendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina

    Aug 01, 2021 00:58

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, uamuzi waserikali ya Marekani wa kuupatia silaha mpya utawala haramu wa Israel maana yake ni kuupa baraka utawala huo ghasibu za kuendeleza hujuma na mashambulio yake dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Kwa msaada wa askari wa Israel, walowezi wa Kizayuni wauvamia tena msikiti wa Al Aqsa

    Kwa msaada wa askari wa Israel, walowezi wa Kizayuni wauvamia tena msikiti wa Al Aqsa

    Jul 27, 2021 10:40

    Walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel leo wameuvamia tena msikiti wa Al Aqsa katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS