Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Hamas: Vitisho vya Gantz ni kwa ajili ya kuboresha sura ya jeshi la Israel

    Hamas: Vitisho vya Gantz ni kwa ajili ya kuboresha sura ya jeshi la Israel

    Jul 05, 2021 22:05

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, vitisho vilivyotolewa na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kulishambulia tena eneo la Ukanda wa Gaza ni jaribio la kuboresha sura ya jeshi la utawala huo iliyoharibika baada ya kipigo cha karibuni cha wanamapambano wa Kipalestina.

  • Msichana Mpalestina ahukumiwa kifungo miezi 30 jela kwa madai ya kushirikiana na Hizbullah

    Msichana Mpalestina ahukumiwa kifungo miezi 30 jela kwa madai ya kushirikiana na Hizbullah

    Jul 05, 2021 02:35

    Mahakama ya utawala wa Kizayuni imeendeleza dhulma zake za kila siku kwa kumuhukumu msichana mmoja Mpalestina, kifungo cha miezi 30 jela kwa madai ya kuwa na mawasiliano na Hizbullah ya Lebanon.

  • Jihadul Islami: Tunazo nguvu za kuwatimua Wazayuni katika ardhi zote za Palestina

    Jihadul Islami: Tunazo nguvu za kuwatimua Wazayuni katika ardhi zote za Palestina

    Jul 03, 2021 22:06

    Kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, muqawama wa wananchi wa Palestina una nguvu za kuufurusha kikamilifu utawala wa Kizayuni na walowezi wa Kizayuni katika kila shibri ya ardhi ya Palestina.

  • Hamas yaghadhabishwa na Google, Apple kuiondoa 'Palestina' katika ramani

    Hamas yaghadhabishwa na Google, Apple kuiondoa 'Palestina' katika ramani

    Jul 01, 2021 03:10

    Ofisi ya Habari ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali hatua ya mashirika ya Kimarekani ya Google na Apple ya kuliondoa neno 'Palestina' katika ramani zao za dunia. Kwa mujibu wa mashirika hayo, hivi sasa hakuna pahala duniani panapotambulika kama Palestina.

  • Viongozi wa Hamas, Jihad Islami wakutana, wasisitiza umoja wa Palestina

    Viongozi wa Hamas, Jihad Islami wakutana, wasisitiza umoja wa Palestina

    Jun 30, 2021 22:53

    Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Harakati ya Jihadi Islami ya Palestina wamekutana na kusisitiza ulazima wa kuimarisha na kudumisha umoja baina ya Wapalestina.

  • Ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel katika kuwakandamiza Wapalestrina

    Ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel katika kuwakandamiza Wapalestrina

    Jun 27, 2021 04:44

    Kuuawa shahidi mwanaharakati wa Kipalestina Nizar Banat mwenye umri wa miaka 42 na askari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kumeongeza mashinikizo dhidi ya mamlaka hiyo na mkuu wake Mahmoud Abbas, ambapo sasa Wapalestina wanataka malaka hiyo ivunjwe na Rais Mahmoud Abbas ajiuzulu.

  • Palestina yataka kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Israel

    Palestina yataka kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Israel

    Jun 26, 2021 22:07

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imelaani uhalifu unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina na kutoa wito wa kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala huo.

  • Palestina, OIC zailaani Honduras kwa kuuhamishia ubalozi wake Quds

    Palestina, OIC zailaani Honduras kwa kuuhamishia ubalozi wake Quds

    Jun 26, 2021 08:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imekosoa vikali hatua ya serikali ya Honduras ya kuuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu kutoka Tel Aviv.

  • Ismail Hania: Muqawama ni njia fupi zaidi kwa ajili ya kurejesha haki za Wapalestina

    Ismail Hania: Muqawama ni njia fupi zaidi kwa ajili ya kurejesha haki za Wapalestina

    Jun 23, 2021 23:14

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ambaye amefanya ziara nchini Mauritania amesisitiza juu ya ulazima wa kuendeshwa muqawama ikiwa njia fupi zaidi ya kufanikisha kupatikana haki za Wapalestina zilizoporwa.

  • Palestina yaikosoa UN kwa kutoiweka Israel katika orodha nyeusi ya wakiukaji wa haki za watoto

    Palestina yaikosoa UN kwa kutoiweka Israel katika orodha nyeusi ya wakiukaji wa haki za watoto

    Jun 21, 2021 07:29

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kutoiweka Israeli kwenye orodha nyeusi ya kila mwaka ya makundi na nchi zinazohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za watoto, ikisema kupuuza jinai za utawala huo kunawapa kinga ya kuhukumiwa Wazayuni wanaoua watoto.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS