Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Makundi ya muqawama ya Palestina yautahadharisha utawala wa Kizayuni

    Makundi ya muqawama ya Palestina yautahadharisha utawala wa Kizayuni

    Jun 20, 2021 03:45

    Makundi ya muqawama ya Palestina yametangaza kuwa hayautauruhusu utawala ghasibu wa Kizayuni uutwishe muqawama masharti yake au kuufanya Ukanda wa Ghaza uwe katika hali ya kutengwa.

  • Shakhsia 682 wa kisiasa wataka Biden akomeshe dhulma za Israel

    Shakhsia 682 wa kisiasa wataka Biden akomeshe dhulma za Israel

    Jun 19, 2021 21:53

    Mamia ya shakhsia wa kisiasa, wanaakademia, wanaharakati wa amani na washindi wa Tuzo ya Nobel wamemtaka Rais Joe Biden wa Marekani atimize ahadi yake ya kulinda haki za Wapalestina, na kukomesha dhulma za Israel.

  • Wapalestina 160 wanateseka katika jela za Saudi Arabia hivi sasa

    Wapalestina 160 wanateseka katika jela za Saudi Arabia hivi sasa

    Jun 19, 2021 21:53

    Shirika la habari la "Palestine Today" limetangaza kuwa, sasa hivi kuna Wapalestina 160 wanaoteseka katika jela za ukoo wa Aal Saud nchini Saudi Arabia. Wapalestina hao wanashikiliwa kwenye jela hizo za Saudi Arabia kwa tuhuma za kuwa wanachama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Uungaji mkono wa Wapalestina kwa Hamas umeongezeka baada ya 'Upanga wa Quds'

    Uungaji mkono wa Wapalestina kwa Hamas umeongezeka baada ya 'Upanga wa Quds'

    Jun 17, 2021 02:51

    Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa, uungaji mkono wa Wapalestina kwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) umeongezeka zaidi baada ya kujiri vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds).

  • Jihad Islami yaonya kuhusu hatua ya kichochezi ya Wazayuni ya 'Maandamano ya Bendera'

    Jihad Islami yaonya kuhusu hatua ya kichochezi ya Wazayuni ya 'Maandamano ya Bendera'

    Jun 14, 2021 08:36

    Harakati ya Jihad Islami ya kupigania ukombozi wa Palestina imesema mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuandaa 'maandamano ya bendera' ni hatari na wa kichochezi.

  • Waandishi habari wa Marekani wataka kuakisiwa jinai za Israel katika vyombo vya habari vya nchi hiyo

    Waandishi habari wa Marekani wataka kuakisiwa jinai za Israel katika vyombo vya habari vya nchi hiyo

    Jun 12, 2021 22:20

    Zaidi ya Waandishi wa habari 500 wa Marekani wamesaini barua ya pamoja wakitaka kuakisiwa na kutangazwa habari zinazohusiana na dhulma na siasa za kibaguzi za Israel huko Palestina.

  • Hamas: Tumetoa pigo kubwa kwa nadharia ya usalama wa Israel

    Hamas: Tumetoa pigo kubwa kwa nadharia ya usalama wa Israel

    Jun 11, 2021 23:42

    Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema katika mapambano ya siku 12 hivi karibuni, harakati za ukombozi wa Palestina zimetoa pigo kubwa kwa nadharia ya usalama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo imejengeka kwa msingi kuwa utawala huo una uwezo zaidi ya wote katika eneo.

  • Sheikh Qassim: Vita vya Saif al Quds vimezidisha umoja wa wanamapambano Palestina

    Sheikh Qassim: Vita vya Saif al Quds vimezidisha umoja wa wanamapambano Palestina

    Jun 11, 2021 22:20

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, vita vya Saif al Quds (Panga la Quds) vimepelekea kuwepo umoja na mshikamano wa muqawama kote Palestina.

  • Hamas yapongeza mapambano ya jana ya Wapalestina dhidi ya Wazayuni huko Jenin

    Hamas yapongeza mapambano ya jana ya Wapalestina dhidi ya Wazayuni huko Jenin

    Jun 10, 2021 21:42

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amepongeza mapambano ya jana ya askari usalama wa Palestina dhidi ya wanajeshi wa utawala vamizi wa Israel kwenye Ukingo wa Magharibi na kuyataja kuwa ni hatua ya kishujaa.

  • Maafisa usalama 3 wa Palestina wauawa shahidi na jeshi la Israel

    Maafisa usalama 3 wa Palestina wauawa shahidi na jeshi la Israel

    Jun 10, 2021 07:54

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limevamia mji wa Jenin ulioko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuua shahidi maafisa usalama watatu wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS