-
Maprofesa wa Iran wataka kuhitimishwa jinai za utawala wa Kizayuni
May 26, 2021 23:07Maprofesa wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa mwito wa kuhitimishwa mara moja jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Baraza la Haki za Binadamu la UN leo linajadili mpango wa kuundwa tume ya kuchunguza jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 26, 2021 21:49Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepokea muswada unaotaka kuundwa tume ya kimataifa itakayochunguza jinai na uhalifu uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Mamlaka ya Ndani: Njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo, ni kuundwa nchi huru ya Palestina
May 26, 2021 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, juhudi za kimataifa za kujaribu kuutatua kisiasa mgogoro wa Palestina hazitofanikiwa ila kwa kuundwa nchi huru ya Palestina mjini mkuu wake ukiwa ni Baytul Muqaddas.
-
HAMAS yawapa mbinu Wapalestina wa Quds za kupambana na Wazayuni
May 25, 2021 06:35Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewataka Wapalestina wanaoishi katika mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas kutotulia, bali waendelee kujibu jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi yao.
-
Jordan: Amani haitopatikana Palestina maadamu Wazayuni wanazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina
May 24, 2021 22:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan amesema kuwa, hakuna matumaini yoyote ya kumalizika vita na kupatikana amani, maadamu utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Hamas yawatahadharisha Wazayuni kuhusu kushambulia tena Quds
May 24, 2021 08:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewatahadharisha Wazayuni maghasibu kuhusu kufanya chokochoko na mashambulizi ya aina yoyote dhidi ya Quds na Msikiti Mtukufu wa al Aqsa.
-
Waziri wa Mambo Nje wa Ufaransa atahadharisha kuhusu sera za Apartheid za Israel dhidi ya Wapalestina
May 24, 2021 07:10Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu kuendelea kwa muda mrefu ubaguzi wa Apartheid wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Axios: Marekani ilikuwa na taarifa kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
May 23, 2021 22:02Tovuti ya habari ya Kimarekani ya Axios imeripoti kuwa, serikali ya Washington ilikuwa na taarifa kitambo nyuma kabla ya kuanza mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Wapalestina tarehe 10 mwezi huu wa Mei.
-
Baada ya kushindwa katika vita vya Gaza Wazayuni wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Wapalestina kufanya ibada
May 23, 2021 06:54Hali ya wasiwai imetanda tena katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina kutokana na hujuma ya walowezi wa Kizayuni wanaowashambulia raia wa Palestina wanaoelekea eneo hilo kwa ajili ya ibada baada ya jeshi la utawala katili wa Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya siku 12 huko Gaza.
-
UN yasalimu amri, yataka kufanyike uchunguzi kuhusu jinai za Israel dhidi ya raia wa Palestina
May 22, 2021 22:19Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za kivita na mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala katili wa Israel dhidi ya raia wa Palestina.