-
Wazayuni wazidi kupapurana, sasa mawaziri wawashambulia majenerali wa kijeshi kuhusu Ghaza
May 22, 2021 02:04Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni limelilaumu jeshi la utawala huo kwa kuboronga katika vita vilivyoisha juzi usiku vya Ukanda wa Ghaza.
-
Baada ya kushindwa Ghaza, sasa Wazayuni walana wao kwa wao
May 21, 2021 07:49Baada ya kushindwa katika vita vya siku 11 baina yao na wanamapambano wa Palestina, sasa wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamenza kupapurana wao kwa wao.
-
Hizbullah: Vita vya "Seif al-Quds" vimeonyesha kuwa, Israel ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui
May 21, 2021 03:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, vita vya "Seif al-Quds" vimeonyesha kuwa, utawala haramu wa Israel ni dhaifu kuliko hata nyumba ya buibui.
-
Zarif: Uvamizi wa Israel umethibitisha kwamba, kuanzisha uhusiano na Israel hakuna faida
May 21, 2021 03:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haki ya Wapalestina ya kujitetea mbele ya dhulma na ukandamizaji wa utawala wa kiapathaidi wa Israel na kusema kuwa, kuporwa na kughusubiwa kitongoji kingine cha Waarabu pambizoni mwa Msikiti wa al-Aqswa kumethibitisha kwamba, kuanzisha uhusiano wa kawaida baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel hakuna faida yoyote.
-
Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni yaendelea kuteketeza roho za Wapalestina Gaza
May 19, 2021 03:17Kwa mara nyingine tena, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai zake dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina kwa kushambulia maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza kwa makombora ya mizinga na ya ndege za kivita.
-
Palestina: Haiyumkiniki kuendelea kuishi chini ya utawala wa ubaguzi wa Apathaidi wa Kizayuni wa Israel
May 19, 2021 02:00Mwakilishi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, hakuna uwezekano wa kuendelea kuishi chini ya utawala wa Kizayuni wa ubaguzi wa Apathaidi.
-
Ripoti ya New York Times kuhusu kuongezeka duniani malalamiko dhidi ya utawala wa Kizayuni
May 19, 2021 00:05Gazeti la New York Times limechapisha ripoti inayoonyesha kuongezeka ulimwenguni malalamiko na maandamano yaliyo dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia jinai na mashambulio yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Putin ataka mashambulio ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina yasimamishwe mara moja
May 18, 2021 09:20Rais Vladimir Putin wa Russia ametaka mashambulio ya kinyama yanayotekelezwa na utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina yasimamishwe mara moja.
-
Haniya: Mapambano ya kukomboa Palestina yamefika nukta muhimu katika historia
May 17, 2021 08:32Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mapambano ya sasa Ghaza ni nutka ya kihistoria ambayo inathibitisha kuwa mapambano na muqawama ndio njia pekee ya kukomboa ardhi za Palestina na kurejesha haki za taifa hilo.
-
Asasi za Kiislamu Marekani zasusia dhifa ya Idi White House kulalamikia uungaji mkono wa Washington kwa jinai za Israel
May 16, 2021 23:05Jumuiya na asasi za Kiislamu nchini Marekani zimesusa kuhudhuria dhifa ya kila mwaka ya Idul-Fitri inayoandaliwa na Ikulu ya White House kulalamikia uungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo kwa jinai za kinyama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wakiwemo wa Ukanda wa Gaza.