Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • HAMAS yawapa mbinu Wapalestina wa Quds za kupambana na Wazayuni

    HAMAS yawapa mbinu Wapalestina wa Quds za kupambana na Wazayuni

    May 25, 2021 06:35

    Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewataka Wapalestina wanaoishi katika mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas kutotulia, bali waendelee kujibu jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi yao.

  • Jordan: Amani haitopatikana Palestina maadamu Wazayuni wanazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    Jordan: Amani haitopatikana Palestina maadamu Wazayuni wanazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    May 24, 2021 22:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan amesema kuwa, hakuna matumaini yoyote ya kumalizika vita na kupatikana amani, maadamu utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Hamas yawatahadharisha Wazayuni kuhusu kushambulia tena Quds

    Hamas yawatahadharisha Wazayuni kuhusu kushambulia tena Quds

    May 24, 2021 08:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewatahadharisha Wazayuni maghasibu kuhusu kufanya chokochoko na mashambulizi ya aina yoyote dhidi ya Quds na Msikiti Mtukufu wa al Aqsa.

  • Waziri wa Mambo Nje wa Ufaransa atahadharisha kuhusu sera za Apartheid za Israel dhidi ya Wapalestina

    Waziri wa Mambo Nje wa Ufaransa atahadharisha kuhusu sera za Apartheid za Israel dhidi ya Wapalestina

    May 24, 2021 07:10

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu kuendelea kwa muda mrefu ubaguzi wa Apartheid wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.

  • Axios: Marekani ilikuwa na taarifa kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    Axios: Marekani ilikuwa na taarifa kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    May 23, 2021 22:02

    Tovuti ya habari ya Kimarekani ya Axios imeripoti kuwa, serikali ya Washington ilikuwa na taarifa kitambo nyuma kabla ya kuanza mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Wapalestina tarehe 10 mwezi huu wa Mei.

  • Baada ya kushindwa katika vita vya Gaza Wazayuni wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Wapalestina kufanya ibada

    Baada ya kushindwa katika vita vya Gaza Wazayuni wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Wapalestina kufanya ibada

    May 23, 2021 06:54

    Hali ya wasiwai imetanda tena katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina kutokana na hujuma ya walowezi wa Kizayuni wanaowashambulia raia wa Palestina wanaoelekea eneo hilo kwa ajili ya ibada baada ya jeshi la utawala katili wa Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya siku 12 huko Gaza.

  • UN yasalimu amri, yataka kufanyike uchunguzi kuhusu jinai za Israel dhidi ya raia wa Palestina

    UN yasalimu amri, yataka kufanyike uchunguzi kuhusu jinai za Israel dhidi ya raia wa Palestina

    May 22, 2021 22:19

    Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za kivita na mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala katili wa Israel dhidi ya raia wa Palestina.

  • Wazayuni wazidi kupapurana, sasa mawaziri wawashambulia majenerali wa kijeshi kuhusu Ghaza

    Wazayuni wazidi kupapurana, sasa mawaziri wawashambulia majenerali wa kijeshi kuhusu Ghaza

    May 22, 2021 02:04

    Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni limelilaumu jeshi la utawala huo kwa kuboronga katika vita vilivyoisha juzi usiku vya Ukanda wa Ghaza.

  • Baada ya kushindwa Ghaza, sasa Wazayuni walana wao kwa wao

    Baada ya kushindwa Ghaza, sasa Wazayuni walana wao kwa wao

    May 21, 2021 07:49

    Baada ya kushindwa katika vita vya siku 11 baina yao na wanamapambano wa Palestina, sasa wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamenza kupapurana wao kwa wao.

  • Hizbullah: Vita vya

    Hizbullah: Vita vya "Seif al-Quds" vimeonyesha kuwa, Israel ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui

    May 21, 2021 03:46

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, vita vya "Seif al-Quds" vimeonyesha kuwa, utawala haramu wa Israel ni dhaifu kuliko hata nyumba ya buibui.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS