Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  •  Zarif: Uvamizi  wa Israel umethibitisha kwamba, kuanzisha uhusiano na Israel hakuna faida

    Zarif: Uvamizi wa Israel umethibitisha kwamba, kuanzisha uhusiano na Israel hakuna faida

    May 21, 2021 03:46

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haki ya Wapalestina ya kujitetea mbele ya dhulma na ukandamizaji wa utawala wa kiapathaidi wa Israel na kusema kuwa, kuporwa na kughusubiwa kitongoji kingine cha Waarabu pambizoni mwa Msikiti wa al-Aqswa kumethibitisha kwamba, kuanzisha uhusiano wa kawaida baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel hakuna faida yoyote.

  • Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni yaendelea kuteketeza roho za Wapalestina Gaza

    Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni yaendelea kuteketeza roho za Wapalestina Gaza

    May 19, 2021 03:17

    Kwa mara nyingine tena, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai zake dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina kwa kushambulia maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza kwa makombora ya mizinga na ya ndege za kivita.

  • Palestina: Haiyumkiniki kuendelea kuishi chini ya utawala wa ubaguzi wa Apathaidi wa Kizayuni wa Israel

    Palestina: Haiyumkiniki kuendelea kuishi chini ya utawala wa ubaguzi wa Apathaidi wa Kizayuni wa Israel

    May 19, 2021 02:00

    Mwakilishi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, hakuna uwezekano wa kuendelea kuishi chini ya utawala wa Kizayuni wa ubaguzi wa Apathaidi.

  • Ripoti ya New York Times kuhusu kuongezeka duniani malalamiko dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Ripoti ya New York Times kuhusu kuongezeka duniani malalamiko dhidi ya utawala wa Kizayuni

    May 19, 2021 00:05

    Gazeti la New York Times limechapisha ripoti inayoonyesha kuongezeka ulimwenguni malalamiko na maandamano yaliyo dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia jinai na mashambulio yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.

  • Putin ataka mashambulio ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina yasimamishwe mara moja

    Putin ataka mashambulio ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina yasimamishwe mara moja

    May 18, 2021 09:20

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametaka mashambulio ya kinyama yanayotekelezwa na utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina yasimamishwe mara moja.

  • Haniya: Mapambano ya kukomboa Palestina yamefika nukta muhimu katika historia

    Haniya: Mapambano ya kukomboa Palestina yamefika nukta muhimu katika historia

    May 17, 2021 08:32

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mapambano ya sasa Ghaza ni nutka ya kihistoria ambayo inathibitisha kuwa mapambano na muqawama ndio njia pekee ya kukomboa ardhi za Palestina na kurejesha haki za taifa hilo.

  • Asasi za Kiislamu Marekani zasusia dhifa ya Idi White House kulalamikia uungaji mkono wa Washington kwa jinai za Israel

    Asasi za Kiislamu Marekani zasusia dhifa ya Idi White House kulalamikia uungaji mkono wa Washington kwa jinai za Israel

    May 16, 2021 23:05

    Jumuiya na asasi za Kiislamu nchini Marekani zimesusa kuhudhuria dhifa ya kila mwaka ya Idul-Fitri inayoandaliwa na Ikulu ya White House kulalamikia uungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo kwa jinai za kinyama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wakiwemo wa Ukanda wa Gaza.

  • Bunge la Cuba lautaka utawala wa Kizayuni uache kuwashambulia Wapalestina

    Bunge la Cuba lautaka utawala wa Kizayuni uache kuwashambulia Wapalestina

    May 16, 2021 07:37

    Kamisheni ya Uhusiano wa Kimataifa ya Bunge la Cuba imelaani jinai na mashambulio ya kikatili yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasio na hatia na kuitaka Israel ikomeshe ukatili wake huo.

  • Zarif afuta safari yake Austria akipinga kuwekwa bendera za Israeli kwenye majengo ya serikal

    Zarif afuta safari yake Austria akipinga kuwekwa bendera za Israeli kwenye majengo ya serikal

    May 16, 2021 00:02

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amefuta safari yake rasmi nchini Austria akipinga hatua ya nchi hiyo ya kupeperusha bendera za utawala haramu wa Israel juu ya majengo ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Vienna, huku Israel ikiendelea kuwaua kinyama raia wa Palestina.

  • Jinai mpya za Wazayuni; Israel yaua kwa umati familia ya watu saba Ghaza

    Jinai mpya za Wazayuni; Israel yaua kwa umati familia ya watu saba Ghaza

    May 15, 2021 03:08

    Utawala wa Kizayuni unaendelea kufanya jinai za kinyama na za kutisha dhidi ya Wapalestina. Habari za karibuni kabisa zinasema kwamba utawala huo katili umeua kwa umati familia ya watu saba magharibi mwa mji wa Ghaza katika shambulio lake la anga. Watu hao waliouliwa kikatili na Wazayuni ni wanawake watano na watoto wadogo wawili

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS