-
Jordan yatahadharisha kuhusu mapigano iwapo Israel itateka maeneo ya Ukingo wa Magharibi
May 16, 2020 03:28Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan ameutahadharisha utawala wa Israel kuwa utaraji mapigano makubwa iwapo utasonga mbele na mpango wake wa kuteka zaidi ardhi za Palestina katika Ukingo wa Magharibi na Bonde la Jordan.
-
Ofisi ya Sheikh Zakzaky: Israel ni COVID ya mwaka 1948
May 15, 2020 22:34Ofisi ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa ujumbe kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuasisiwa utawala pandikizi wa Kizayuni uliopachikwa jina bandia katika ardhi walizoporwa Wapalestina na kusema kuwa, Israel ni "COVID-1948."
-
Jihadul Islami: Haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada
May 15, 2020 21:59Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema kwamba, haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada wala kutolewa zawadi na kwamba na njia pekee ya kufikia usalama, ni kuondoka wavamizi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.
-
Wapalestina wakusanyika Nablus, Ufukwe wa Magharibi kupinga safari ya Pompeo
May 15, 2020 03:40Wananchi wa Palestina wamekusanyika katika mji wa Nablus ulioko kaskazini mwa Ufukwe wa Magharibu wa Mto Jordan kupinga safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo katika ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la 'Israel'.
-
Rouhani: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 14, 2020 19:59Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai dhidi ya binadamu, ukandamizaji na dhulma wanazofanyiwa Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Amnesty yaikosoa Marekani kwa kuungo mkono uporaji wa ardhi za Wapalestina
May 14, 2020 19:58Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuunga mkono uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa kulinyakua eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuliunganisha na ardhi zingine unazozikalia kwa mabavu za Palestina (Israel).
-
Sayyid Nasrullah: Utawala wa Kizayuni umejiingiza kwenye vita vya kwenye ndoto na Iran
May 14, 2020 03:28Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, washauri wa Kiirani walioko nchini Syria si wanajeshi na kwamba utawala wa Kizayuni umejiingiza kwenye vita vya kwenye ndogo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ziara ya Pompeo katika ardhi za Palestina na malengo yake kadhaa
May 13, 2020 23:20Uhusiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umepanuka sana kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani ambaye amechukua hatua nyingi za kutekeleza kivitendo matakwa haramu ya 'Israel.'
-
Vyama vya siasa na mashirika ya Norway yataka kuhitimishwa mzingiro wa Gaza
May 10, 2020 19:53Vyama vya kisiasa na mashirika 58 ya Norway yametoa mwito wa kufutwa haraka mzingiro wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, hususan katika kipindi hiki cha janga la corona.
-
Haniyah: Kuufanya wa kawaida uhusiano na Israel ni kosa lisilosameheka
May 09, 2020 08:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema njama zozote zinazolenga kuufanya wa kawaida uhusiano baina ya mataifa ya Kiarabu na utawala haramu wa Israel ni kosa ambalo halina msahama.