-
Biden: Si sahihi kuiruhusu Israel iuteke Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
May 07, 2020 08:47Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats amesema kuwa, si sahihi kuiruhusu Israel iuteke Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuuingiza katika ardhi nyingine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
HAMAS yatahadharisha kuhusu njama za kuiyahudisha Palestina
May 07, 2020 03:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaja mpango wa kuunganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kama njama hatari zaidi ya kuziyahudisha ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Vyama vya Palestina na Lebanon vyatoa radiamali kufuatia hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah
May 02, 2020 06:22Vyama na makundi tofauti ya Lebanon, Syria na Palestina vimeitaja hatua ya Ujerumani ya kuitangaza Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi ni kusalimu amri kwa njia ya kujidhalilisha nchi hiyo ya Magharibi kwa amri za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni.
-
Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Apr 28, 2020 02:44Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
UN yaonya kuhusu njama za Wazayuni za kuunganisha na Israel, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Apr 24, 2020 02:38Mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Asia Magharibi ametahadharisha kuhusu siasa za kivamizi za utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina na kusema kuwa, siasa hizo ni uvunjaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Ulazima wa kuachiliwa maelfu ya mateka Wapalestina wanaoshikiliwa na utawala wa Kizayuni
Apr 20, 2020 03:24Makao makuu ya kudumu ya Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu , Bunge la Iran, imetoa taarifa kwa mnasaba wa 'Siku ya Mateka Wapalestina', na kusisitiza ulazima wa kuachiliwa bila masharti mateka 5000 wa Palestina wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bunge la Jordan: Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya Israel waachiliwe huru
Apr 12, 2020 07:47Bunge la Jordan limetoa wito wa kuachiliwa huru mateka wote wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya kutisha ya utawala haramu wa Israel.
-
Hamas: Tutakubali kubadilishana wafungwa na Israel kwa masharti
Apr 09, 2020 03:51Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema harakati hiyo imeazimia kuhakikisha kuwa wafungwa wa Kipalestina walioko katika jela za Israel wanaachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa na utawala huo wa Kizayuni.
-
Arab League yatahadharisha kuhusu hatari ya corona kwa wafungwa wa Kipalestina huko Israel
Apr 06, 2020 22:20Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetahadharisha kuhusu hatari kubwa inayotishia uhai wa wafungwa karibu elfu tano wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala haramu wa Israel kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Tunisia yasema iko tayari kuisaidia Palestina kukabiliana na Corona
Mar 28, 2020 07:17Serikali ya Tunisia imetangaza uungaji mkono wake kwa raia wa Palestina katika kukabiliana na virusi vya Corona.