Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Harakati za mapambano Palestina zapongeza hatua ya Ansarullah huko Yemen

    Harakati za mapambano Palestina zapongeza hatua ya Ansarullah huko Yemen

    Mar 27, 2020 20:35

    Makundi na harakati za mapambano ya ukombozi huko Palestina zimepongeza sana pendekezo lililotolewa na harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah kuhusu suala la kubadilishana mateka wa Saudi Arabia na Wapalestina wanaoshikiliwa nchini Saudia.

  • Harakati za Palestina na Russia wakubaliana kukabiliana na

    Harakati za Palestina na Russia wakubaliana kukabiliana na "Muamala wa Karne"

    Mar 18, 2020 02:54

    Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina zimekubaliana na Russia juu ya jinsi ya kukabiliana na mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili eti ya amani Mashariki ya Kati maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".

  • Palestina yamwandikia barua Guterres, yatahadharisha kuhusu ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni

    Palestina yamwandikia barua Guterres, yatahadharisha kuhusu ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni

    Mar 15, 2020 00:48

    Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amewatahadharisha maafisa wa umoja huo kuhusu kasi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ardhi ya Palestina na uchochezi unaofanywa na utawala huo dhidi ya raia wa Palestina.

  • Makundi ya ukombozi ya Palestina yajitayarisha kukabiliana na Wazayuni Ukanda wa Gaza

    Makundi ya ukombozi ya Palestina yajitayarisha kukabiliana na Wazayuni Ukanda wa Gaza

    Mar 13, 2020 23:02

    Kutokana na kuongezeka uwezekano wa utawala wa Kizayuni wa Israel kushambulia eneo la Ukanda wa Gaza, makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina yamejiweka katika hali ya tahadhari kwa ajili ya kukabiliana na hujuma ya aina yoyote ya utawala huo haramu.

  • Marekani yatekeleza njama mpya dhidi ya Wapalestina kwa kubadilisha utambulisho wa wakazi wa Quds

    Marekani yatekeleza njama mpya dhidi ya Wapalestina kwa kubadilisha utambulisho wa wakazi wa Quds

    Mar 12, 2020 12:03

    Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina imesema, hatua ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani ya kubadilisha utambulisho wa Wapalestina wa eneo la Baitul Muqaddas Mashariki ni hujuma ya dhahiri na uchokozi wa wazi dhidi ya utambulisho wa Wapalestina.

  • Palestina yaionya Israel dhidi ya kutumia vibaya suala la virusi vya Corona

    Palestina yaionya Israel dhidi ya kutumia vibaya suala la virusi vya Corona

    Mar 11, 2020 08:28

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imewatahadharisha Wazayuni kutotumia vibaya suala la virusi vya Corona kuzishughulisha fikra za walimwengu ili wapate fursa ya kupora ardhi zilizosalia za Palestina.

  • HAMAS yatupilia mbali ombi la Marekani la kuweko uhusiano wa kidiplomasia baina yao

    HAMAS yatupilia mbali ombi la Marekani la kuweko uhusiano wa kidiplomasia baina yao

    Mar 03, 2020 08:20

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ametupilia mbali ombi la Marekani la kutaka Washingto iwe na uhusiano wa kisiasa na harakati hiyo ya Kiislamu.

  • Baraza la Mamufti Russia lamshukuru Kiongozi Muadhamu kwa kuwatetea Wapalestina

    Baraza la Mamufti Russia lamshukuru Kiongozi Muadhamu kwa kuwatetea Wapalestina

    Mar 01, 2020 04:39

    Baraza la Mamufti la Russia limempongeza na kumshukuru Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei kwa kutetea haki halali za Wapalestina.

  • EU yakosoa mpango wa Israel wa kujenga vitongoji vipya Ukingo wa Magharibi

    EU yakosoa mpango wa Israel wa kujenga vitongoji vipya Ukingo wa Magharibi

    Feb 29, 2020 09:50

    Umoja wa Ulaya umekosoa vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujenga maelfu ya vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.

  • Risasi za jeshi la Israel zawapofusha Wapalestina 21 Ukanda wa Gaza

    Risasi za jeshi la Israel zawapofusha Wapalestina 21 Ukanda wa Gaza

    Feb 27, 2020 09:41

    Kituo cha Haki za Binadamu cha Beytulahm (Bethlehem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu kimeripoti kuwa, Wapelestina 21 katika Ukanda wa Gaza wamesababishiwa upofu na ufyatuaji risasi wa jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya miaka miwili iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS