-
Wapalestina 21 wauawa, kujeruhiwa na askari wa Israel Ukingo wa Magharibi
Jul 24, 2022 03:08Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine 19 katika miji ya Nablus na Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Tawi la kijeshi la HAMAS ya Palestina lapiga gwaride dhidi ya Israel, Gaza
Jul 22, 2022 03:06Bridegi za Izuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimefanya gwaride kubwa la kijeshi katika Ukanda wa Gaza.
-
Amir wa Qatar: Israel ndio chanzo kikuu cha mivutano katika eneo la Asia Magharibi
Jul 17, 2022 22:01Amir wa Qatar ameitaja Israel kuwa ndio chanzo kikuu cha mizozo katika eneo la Asia Magharibi, akisema machafuko na hali ya kutokuwepo utulivu itaendelea katika eneo hilo isipokuwa utawala ghasibu wa Israel utakapokoma kukiuka sheria za kimataifa.
-
Wapalestina watoa wito wa kufanyika maandamano makubwa kulaani safari ya kikanda ya Biden
Jul 13, 2022 02:52Wanaharakati wa Kipalestina wametoa wito wa kufanyika maandamano makubwa kulaani ziara ya Rais wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Makundi ya muqawama Palestina yamkosoa Abbas kukutana na Gantz
Jul 09, 2022 03:05Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amekosolewa vikali na makundi ya muqawama ya Palestina, kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benny Gantz.
-
UN: Kufukuzwa Wapalestina eneo la Masafer Yatta ni jinai ya kivita
Jul 08, 2022 03:41Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa kufukuzwa kwa Wapalestina kutoka eneo la Masafer Yatta, kusini mwa Ukingo wa Magharibi, kunaweza kuwa sawa na kuwalazimika kuyahama makazi yao, jambo ambalo ni ukiukaji mkubwa wa Mkataba wa Nne wa Geneva na hivyo kuzingatiwa kuwa ni uhalifu wa kivita.
-
Brigedi ya Al-Quds: Walowezi wa Kizayuni hawana budi ila kuondoka Palestina
Jul 08, 2022 03:41Kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 8 wa Vita vya ‘al-Buniyan al-Marsus’, Brigedi ya Quds tawi la kijeshi la harakati ya Jihad Islami huko Palestina imetangaza kuwa itaendeleza njia ya muqawama na mapambano dhidi ya Wazayuni maghasibu na kusisitiza kuwa: Walowezi wa Kizayuni hawana budi ila kuondoka katika ardhi yote ya Palestina.
-
Abdollahian: Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu
Jul 03, 2022 00:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ukombozi wa taifa la Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.
-
Uchunguzi wa maoni: Wapalestina wengi wanaunga mkono mapambano ya silaha dhidi ya Israel
Jun 29, 2022 21:50Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliyofanyika huko Palestina yanaonyesha ongezeko la uungaji mkono wa Wapalestina kwa mapambano ya silaha dhidi ya utawala haramu wa Israel na kuondolewa madarakani Mahmoud Abbas kama mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Ripoti: Wazayuni wamewaua shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Jun 27, 2022 06:51Ripoti mpya ya shirika moja la kutetea haki za watoto imesema askari makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi watoto 15 wa Palestina.