-
Mousavi: Iran ina hamu ya kuona utulivu na amani inatawala katika eneo hili zima
Nov 24, 2020 07:18Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye sasa ni balozi wa Iran nchini Azerbaijan amesema kuwa, Tehran ina hamu ya kuona utulivu na amani ya kudumu inapatikana katika eneo hili zima.
-
Mambo yasiyo na uwazi katika mpango wa amani wa Russia kuhusu mgogoro wa Karabakh
Nov 16, 2020 10:19Mambo ya kutiliwa shaka na yasiyofahamika vizuri katika mkataba wa amani wa Russia kuhusu mgogoro wa Azerbaijan na Armenia juu ya eneo la Nagorno Karabakh, yamenyamaziwa kimya na viongozi wa Azerbaijan na Uturuki.
-
Vikosi vya kulinda amani vya Russia vyawasili katika eneo la Nagorno-Karabakh
Nov 13, 2020 07:46Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa vikosi vya kulinda amani vya nchi hiyo vimeshawasili katika eneo la Nagorno-Karabakh.
-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 03:58Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.
-
Kukiukwa makubaliano ya kusitisha vita ya Moscow dakika chache baada ya kutekelezwa
Oct 12, 2020 04:52Makubaliano ya kusitisha vita baina ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia yaliyofikiwa kwa upatanishi wa Russia yamekiukwa dakika 5 tu baada ya kuanza kutekelezwa.
-
Iran yaunga mkono mapatano ya usitishwaji vita katika eneo la Nagorno-Karabakh
Oct 10, 2020 12:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha mapatano ya usitishwaji vita katika eneo la Nagorno-Karabakh.
-
Amir Abdollahian: Magenge ya kigaidi katika eneo la Karabakh ni tishio kwa usalama
Oct 03, 2020 02:40Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Iran (yaani Bunge) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, vita vinavyoendelea hivi sasa kwenye eneo la Nagorno-Karabakh vinaoensha kuwa magenge ya kigaidi yanayoshiriki kwenye vita hivyo ni tishio kwa usalama na amani ya eneo hili zima.
-
Macron: Uturuki imetuma mamluki wa Kisyria kupigana Nagorno-Karabakh
Oct 01, 2020 11:13Ufaransa imeituhumu Uturuki kwamba imetuma mamluki wa Kisyria kupigana vita katika mzozo wa Nagorno-Karabakh na kusema Paris inashirikiana na Russia kwa ajili ya kusitisha mapigano kati ya majeshi ya Azerbaijan na Armenia.