-
Rouhani: Usalama na amani ya Asia Magharibi vitaimarishwa kupitia ushirikiano wa nchi za eneo
Feb 16, 2021 00:05Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi vinaweza kuimarishwa tu kupitia ushirikiano wa mataifa ya eneo hili na wala si kwa uingiliaji wa madola ajinabi.
-
Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo
Feb 12, 2021 04:13Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Doha, Qatar ameipongeza nchi hiyo kwa kufanya juhudi za kuanzisha mchakato wa kieneo wa kutatua migogoro ya eneo hili.
-
Qatar yaishukuru Iran; sisitizo la nafasi chanya ya Iran katika kuleta uthabiti na amani katika eneo
Jan 29, 2021 06:03Huku akisisitiza kuwa uhusiano wa Qatar na nchi mbili za Iran na Uturuki ni mzuri sana, Lolwah al Khater, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amezishukuru nchi hizo kwa kuwa pembeni ya taifa hilo wakati ilipokuwa chini ya mgogoro mkubwa wa kuzingirwa na majirani zake.
-
Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia
Jan 19, 2021 23:09Sambamba na kumalizika kipindi cha uongozi wa Donald Trump nchini Marekani, kumedhihirika bayana ishara za mabadiliko katika siasa na sera za kieneo za Saudi Arabia.
-
Qatar yazitaka nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Iran
Jan 19, 2021 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amezitaka nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makubaliano ya AI-Ula Saudi Arabia na engo zake tofauti
Jan 08, 2021 23:09Kikao cha Baraza na Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kilifanyika Jumanne iliyopita ya tarehe 5 Januari katika mji wa Al-Ula Saudi Arabia na kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Qatar uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran
Jan 07, 2021 23:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mapatano ya nchi yake na Saudia Arabia pamoja na waitifaki wake hayatabadilisha uhusiano mzuri ulioko baina ya Qatar na nchi zingine ikiwemo Iran.
-
Kumalizika mzingiro wa Qatar, suluhu inayoyumbayumba
Jan 06, 2021 08:52Makubaliano ya kukomeshwa mzingiro wa nchi kadhaa za Kiarabu dhidi ya Qatar yametiwa saini katika kikao cha al Ula nchini Saudi Arabia bila ya kuhudhuriwa na viongozi wa nchi za Imarati, Misri, Bahrain na Oman.
-
Ansarullah: Kusalimu amri Saudia mbele ya Qatar kunaonesha uvamizi na mzingiro umefeli
Jan 06, 2021 01:11Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema hatua ya Saudi Arabia kuondoa mzingiro na kufungua tena mipaka yake ya anga, nchi kavu na baharini na Qatar inaonesha wazi kuwa sera za uvamizi na mzingiro zimefeli na kugonga mwamba.
-
Amir wa Qatar kuhudhuria mkutano wa GCC leo baada ya Saudia kuifungulia Doha mipaka yake yote
Jan 05, 2021 03:43Qatar imethibitisha kuwa kiongozi wa nchi hiyo Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani atahudhuria mkutano wa 41 wa wakuu wa nchi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) unaofanyika leo katika mji wa Al-Ula nchini Saudi Arabia.