Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • HAMAS yasifu msimamo wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar

    HAMAS yasifu msimamo wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar

    Jun 11, 2017 03:33

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesifu msimamo wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Muhammad bin Abdulrahman Al Thani wa kusisitiza kwamba Hamas ni harakati halali ya muqawama.

  • AI: Vikwazo vya Saudia na washirika wake dhidi ya Qatar vina taathira mbaya kwa raia wa Ghuba ya Uajemi

    AI: Vikwazo vya Saudia na washirika wake dhidi ya Qatar vina taathira mbaya kwa raia wa Ghuba ya Uajemi

    Jun 10, 2017 11:26

    Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetangaza kuwa, hatua iliyochukuliwa na Saudi Arabia na washirika wake ya kuiwekea vikwazo na kuizingira Qatar ni kuchezea maisha ya maelfu ya watu wa Ghuba ya Uajemi.

  • Mgawanyiko katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu mvutano wa Qatar na Saudia

    Mgawanyiko katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu mvutano wa Qatar na Saudia

    Jun 09, 2017 02:55

    Misimamo iliyochukuliwa na nchi wanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusu mivutano inayoendelea baina ya Qatar na Saudi Arabia sambamba na kudhihirisha mgawanyiko na ukosefu wa mshikamano uliopo baina ya nchi za jumuiya hiyo, vilevile umeonesha kuwa, Saudia haiungwi mkono isipokuwa na nchi ndogo na dhaifu.

  • Iran yatenga bandari tatu kuipelekea chakula Qatar

    Iran yatenga bandari tatu kuipelekea chakula Qatar

    Jun 08, 2017 13:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Muhammed bin Abdul Rahman Aal Thani amesema kuwa, Tehran imetenga bandari zake tatu kwa ajili ya kupeleka chakula nchini Qatar.

  • Saudia yaendelea kuzishawishi nchi mbalimbali kukata mahusiano yao na Qatar, mara hii ni Afrika

    Saudia yaendelea kuzishawishi nchi mbalimbali kukata mahusiano yao na Qatar, mara hii ni Afrika

    Jun 08, 2017 10:59

    Hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu zikiongozwa na Saudia ya katika kukata uhusiano na Qatar imezidi kuwa kubwa huku Riyadh ikiendelea kuzishawishi nchi za Kiafrika kujiunga nayo katika hatua hiyo.

  • Taathira za kieneo za mvutano wa Saudi Arabia na Qatar

    Taathira za kieneo za mvutano wa Saudi Arabia na Qatar

    Jun 08, 2017 10:58

    Mvutano katika uhusiano wa Saudi Arabia na Qatar bila shaka utakuwa na taathira kubwa hasi kwa utawala wa Riyadh katika upeo wa kieneo.

  • Mauritania nayo yakata uhusiano na Qatar, Gabon yaishutumu Doha

    Mauritania nayo yakata uhusiano na Qatar, Gabon yaishutumu Doha

    Jun 07, 2017 02:39

    Katika hatua inayoonekana ni kufuata kibubusa sera za Saudi Arabia, Mauritania imetangaza kukata uhusiano wa kidiplomasia na Qatar, siku chache baada ya nchi kadhaa za Kiarabu kuchukua hatua kama hiyo.

  • Trump aunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar

    Trump aunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar

    Jun 06, 2017 23:18

    Rais Donald Trump wa Marekani ameunga mkono Saudi Arabia katika mgogoro wake na Qatar na kwa njia isiyo ya moja kwa moja akaituhumu Qatari kuwa inaunga mkono ugaidi.

  • Qatar yaafiki upatanishi wa Kuwait katika mgogoro na Saudia

    Qatar yaafiki upatanishi wa Kuwait katika mgogoro na Saudia

    Jun 06, 2017 09:10

    Qatar imesema iko tayari kuipa Kuwait fursa kuwa mpatanishi katika mgogoro ulioibuka baada ya Saudi Arabia kuzichochea nchi kadhaa za Kiarabu kukata uhusiano na nchi hiyo.

  • Utawala wa Kizayuni waipongeza Saudia kwa kukata uhusiano na Qatar

    Utawala wa Kizayuni waipongeza Saudia kwa kukata uhusiano na Qatar

    Jun 06, 2017 03:38

    Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel amekaribisha hatua ya Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kukata mahusiano yao na taifa la Qatar na kusema kuwa, hiyo ni fursa pekee kwa ajili ya Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS