Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo

    Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo

    Jun 05, 2017 23:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Kuwait, Qatar, Lebanon, Algeria na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na matukio yanayoendelea kujiri katika eneo.

  • Saudia yazifunga ofisi za al-Jazirah, Qatar nayo yajibu kwa kufuta safari za ndege zake kwenda Saudia

    Saudia yazifunga ofisi za al-Jazirah, Qatar nayo yajibu kwa kufuta safari za ndege zake kwenda Saudia

    Jun 05, 2017 11:09

    Serikali ya Saudia imesimamisha urushaji matangazo na kufunga ofisi za kanali ya televishani ya al-Jazira inayomilikiwa na Qatar nchini humo.

  • Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi

    Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi

    Jun 05, 2017 03:15

    Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukata uhusiano na Qatar mapema leo Jumatatu, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imesema, imesikitishwa na hatua hiyo.

  • Saudia yatabiri kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Qatar

    Saudia yatabiri kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Qatar

    Jun 02, 2017 21:59

    Katika hali inayoonekana ni ya kuzidi kuvurugika uhusiano wa Saudi Arabia na Qatar, gazeti moja la Saudia linalochapishwa mjini Riyadh limetabiri kuwa, kuna uwezekano wa kutokea mapinduzi ya sita ya kijeshi nchini Qatar hasa kwa kuzingatia katika nchi hiyo ndogo ya Kiarabu kumetokea mapinduzi matano ya kijeshi katika kipindi cha baina ya mwaka 1971 na 2013.

  • Qatar: Nchi za Ghuba zinahitajia kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Qatar: Nchi za Ghuba zinahitajia kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    May 18, 2017 03:08

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amesema kuwa, nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi zinahitajia kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Misri yailaumu vikali Qatar, (P) GCC yailalamikia serikali ya Cairo

    Misri yailaumu vikali Qatar, (P) GCC yailalamikia serikali ya Cairo

    Dec 17, 2016 00:53

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetoa taarifa ya kuilaumu tena Qatar na kuituhumu kuwa ilihusika katika tukio la kigaidi la mripuko uliotokea kwenye kanisa la Othodoksi la Saint Mark la Waqibti katika mji mkuu Cairo.

  • Rais Rouhani: Mazungumzo yatumike kutatua migogoro Mashariki ya Kati

    Rais Rouhani: Mazungumzo yatumike kutatua migogoro Mashariki ya Kati

    Sep 13, 2016 02:12

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema mazungumzo ya kisiasa yanaonyesha ufahamu ndio njia pekee za kutatua matatizo ya hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati hasa katika Ghuba ya Uajemi.

  • Qatar yampa hifadhi kamanda mwandamizi wa zamani wa al-Shabab

    Qatar yampa hifadhi kamanda mwandamizi wa zamani wa al-Shabab

    Mar 06, 2016 21:47

    Aliyekuwa kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kitakfiri la al-Shabab, Muhammed Said Atam amepewa hifadhi na serikali ya Qatar.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS