Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qur'ani Tukufu

  • Mafunzo ya Qur'ani katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Gambia

    Mafunzo ya Qur'ani katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Gambia

    Dec 15, 2016 01:00

    Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia (GQMC) kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Intaneti cha Gambia kimeandaa masomo ya kuhifadhi Qur'ani kupitia intaneti kwa lengo la kutoa mafunzo kwa Waislamu kona zote za dunia.

  • Daesh wazidi kupata pigo Iraq, watega mabomu ndani ya Qur'ani karibu na Mosul

    Daesh wazidi kupata pigo Iraq, watega mabomu ndani ya Qur'ani karibu na Mosul

    Dec 07, 2016 00:26

    Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) wameanza tena kutega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu na kuziacha mabarabarani na nje ya majumba katika kijiji cha Kanous, karibu na mji wa Mosul nchini Iraq.

  • Ubalozi wa Saudia Morocco wavunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu

    Ubalozi wa Saudia Morocco wavunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu

    Oct 03, 2016 23:28

    Ubalozi wa Saudia Arabia nchini Morocco umekosolewa vikali na Waislamu baada ya kuenea picha za kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika ubalozi huo.

  • Vikao 400 vya  Qur'ani Tukufu kote Iran

    Vikao 400 vya Qur'ani Tukufu kote Iran

    Jun 11, 2016 23:27

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote Iran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

  • Vikao 400 vya  Qur'ani Tukufu kufanyika kote nchini Iran

    Vikao 400 vya Qur'ani Tukufu kufanyika kote nchini Iran

    Jun 11, 2016 11:00

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote nchini katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani.

  • Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani

    Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani

    Jun 09, 2016 23:19

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh linatumia nakala za Qur'ani tukufu kutekeleza mashambulizi yake ya mabomu katika mji wa Fallujah nchini Iraq.

  • Iran yafadhili mashindano ya Qur'ani katika Televisheni ya Uganda

    Iran yafadhili mashindano ya Qur'ani katika Televisheni ya Uganda

    May 28, 2016 23:43

    Kitengo cha Utamaduni cha Iran nchini Uganda kimefadhili mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Televisheni ya Taifa ya nchi hiyo, UBC.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Nguvu kwa Msingi wa Uislamu

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Nguvu kwa Msingi wa Uislamu

    May 19, 2016 02:38

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Jumatano alikutana na washiriki wa Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran na kusema, 'Qur'ani Tukufu ni mhimili wa Umoja wa Umma wa Kiislamu.

  • Vijana wa Afrika Mashariki washiriki Mashindani ya Kimataifa ya Qurani ya Iran

    Vijana wa Afrika Mashariki washiriki Mashindani ya Kimataifa ya Qurani ya Iran

    May 14, 2016 10:24

    Vijana kutoka kanda ya Afrika Mashariki ni miongoni mahuffadh na maqari wanaoshiriki duru ya 33 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani inayofanyika hapa mjini Tehran.

  • Mashindano ya Qur'ani Tukufu yaanza rasmi Tehran

    Mashindano ya Qur'ani Tukufu yaanza rasmi Tehran

    May 12, 2016 11:07

    Baada ya Dk Ali Larijani, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) kufungua duru ya 33 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu jana Jumatano, mashindano hayo yameanza rasmi leo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS