-
Waziri wa Utamaduni wa Iran: Ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi
Feb 16, 2024 07:55Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema, ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi.
-
UN: Kuchoma moto Qur'ani kunalenga kuzusha mizozo baina ya jamii na nchi
Oct 05, 2023 03:21Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amelaani wimbi la vitendo vya kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.
-
Kiongozi Muadhamu azitaka nchi za Kiislamu kushikamana kukabiliana na mabeberu
Oct 03, 2023 12:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baada ya madola ya kiistikbari na kibeberu kuhisi hatari kutokana na kuenea nguvu za mafundisho ya Qur'ani Tukufu, yameamua kuendesha kampeni za kukivunjia heshima Kitabu hicho Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.
-
OIC yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani, yaitaka Sweden kuzuia vitendo hivyo viovu
Oct 02, 2023 15:13Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito mpya kwa serikali ya Sweden ikiitaka kuchukua hatua za haraka dhidi ya watu wanaochoma moto nakala za Qur'ani Tukufu, kwa sababu kitendo hicho ni chuki ya kidini.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Serikali ya Sweden lazima iheshimu kanuni za kimsingi za haki za binadamu
Oct 01, 2023 13:46Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Serikali ya Sweden inatakiwa kujibu matakwa ya wazi kabisa ya Waislamu kwa kuwajibika na kufuata kikamilifu kanuni za kimsingi za haki za binadamu, kwa kuhimiza maadili na kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti na kuchukua hatua za kivitendo na zenye ufanisi.
-
Askofu wa Lebanon: Kuvunjia heshima matukufu ya kidini ni uovu
Sep 22, 2023 02:41Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiothodoksi la Jabal na Tripoli la Lebanon amelaani vitendo vya kuyavunjia heshima matukufu ya kidini na kusisitiza kuwa, kufanya vitendo hivyo ni jambo ovu.
-
Erdogan na Anwar Ibrahim walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani katika nchi za Ulaya
Sep 21, 2023 03:49Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Waziri Mkuu wa Malaysia, Anwar Ibrahim, wamelaani vikali vitendo vya kuchomwa moto nakala za Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya, na hotuba zinazochochea ouvu, chuki na mashambulizi dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Baraza la Haki za Binadamu la UN kujadili hujuma dhidi ya Qur'ani
Sep 12, 2023 03:14Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya kikao hivi karibuni cha kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Magharibi.
-
Waislamu waghadhabishwa na kuchomwa moto Qur'ani Uholanzi
Aug 19, 2023 10:28Waislamu katika kona zote za dunia wamehamakishwa na kitendo kingine cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, mara hii katika mji wa The Hague nchini Uholanzi.
-
Qur'ani yachomwa tena Sweden; Waislamu na Wakristo waandamana
Aug 15, 2023 07:46Kwa mara nyingine tena, kafiri Salwan Momika, mkimbizi wa Iraq anayeishi nchini Sweden ameivunjia heshima Qur'ani Tukufu mjini Stockholm chini ya himaya ya polisi ya nchi hiyo ya Ulaya.