-
Kuaga dunia Ramadhan Abdallah; nembo ya Jihadi ya Palestina
Jun 09, 2020 04:53Ramadhan Abdallah Shalah, Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 62 kutokana na maradhi ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amuomboleza Ramadhan Shalah
Jun 07, 2020 07:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia katibu mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina.