-
Rais Rouhani: Imam Khomeini MA amewaonesha walimwengu rasilimali ya kijamii
Feb 01, 2021 08:20Rais Hassan Rouhani amesema kuwa, Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaonesha walimwengu rasilimali ya kijamii ya Iran.
-
Rouhani: Taifa la Iran lilisambaratisha udikteta na ubeberu
Jan 30, 2021 12:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran kwa mapambanao na muqawama limeweza kusambaratisha ubeberu."
-
Rouhani: Ulaya haijatekeleza ahadi zake; ikirejea katika majukumu yake nasi pia tutarejea
Jan 27, 2021 12:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran itarejea katika mapatano ya JCPOA kwa sharti kwamba Marekani na Ulaya nazo zitekeleze majukumu yao.
-
Rouhani: Iran kuanza kutoa chanjo ya Covid-19 ndani ya siku chache zijazo
Jan 23, 2021 12:12Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaanza kutoa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 hapa nchini katika kipindi cha siku chache zijazo.
-
Rouhani: Ongezeko la wawekezaji wa kigeni Iran ni ishara ya kufeli vikwazo vya Marekani
Jan 14, 2021 13:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ongezeko la asilimia 56 ya wawekezaji wa kigeni katika maeneo ya biashara huru nchini Iran ni ishara ya kufeli sera za Marekani za ugaidi wa kiuchumi na mashinikizo ya juu kabisa.
-
Rouhani: Mwisho wa serikali ya Trump umeonyesha ubabe hauna mwisho mwema
Jan 13, 2021 14:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufedheheka na kuaibika utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake za mwisho ni ishara kuwa, ubaguzi wa rangi na ukiukwaji sheria ni mambo ambayo hayana mwisho mwema.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran hawawi wenzo wa kufanyia majaribio ya chanjo za nchi za kigeni
Jan 09, 2021 13:01Rais Hassan Rouhani amesema, wananchi wa Iran hawatakuwa wenzo wa kufanyia majaribio chanjo za nchi za kigeni.
-
Rais Rouhani: Kama Biden atatekeleza ahadi zake, basi majibu ya Iran ni rahisi kabisa
Jan 06, 2021 12:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia kuingia madarakani serikali ya Joe Biden huko Marekani karibuni hivi na kusema kuwa, kama Biden atatekeleza ahadi zake basi majibu ya Iran yako wazi na ni mepesi kabisa.
-
Rouhani: Corona imekuwa mtihani wa kihistoria kwa mataifa na viongozi wa dunia
Jan 02, 2021 13:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema corona au COVID-19 si ugonjwa wa kawaida bali ni mtihani wa kihistoria kwa mataifa na viongozi wa dunia.
-
Rais Rouhani azindua stempu ya kumbukumbu ya Shahidi Soleimani
Jan 02, 2021 13:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amezindua stempu ya kumbukumbu ya Shahidi Qassem Soleimani.