Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Onyo kali la Moscow dhidi ya uingiliaji wa kijeshi wa Washington nchini Venezuela

    Onyo kali la Moscow dhidi ya uingiliaji wa kijeshi wa Washington nchini Venezuela

    May 03, 2019 03:08

    Katika kipindi hiki cha uongozi wa Rais Donald Trump wa Marekani, nchi hiyo imeongeza maradifu juhudi zake za kutaka kuiangusha serikali halali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolas Maduro.

  • Wataalamu wa Mambo Russia na Yemen: Muungano wa Saudia hautofikia malengo yake Yemen

    Wataalamu wa Mambo Russia na Yemen: Muungano wa Saudia hautofikia malengo yake Yemen

    May 03, 2019 00:06

    Wataalamu wa masuala ya kisiasa nchini Russia na Yemen wamesema kuwa njama za muungano vamizi wa Saudia na washirika wake dhidi ya Yemen, zimefeli.

  • Majeshi ya majini ya Iran na Russia kufanya mazoezi Ghuba ya Uajemi

    Majeshi ya majini ya Iran na Russia kufanya mazoezi Ghuba ya Uajemi

    Apr 29, 2019 05:42

    Majeshi ya majini ya Iran na Russia yanapanga mazoezi ya pamoja na ya kipekee katika Ghuba ya Uajemi baadaye mwaka huu.

  • Amri ya Trump ya kuwekwa mikataba mipya ya silaha baina ya Marekani na Russia na China

    Amri ya Trump ya kuwekwa mikataba mipya ya silaha baina ya Marekani na Russia na China

    Apr 27, 2019 02:27

    Donald Trump ni rais wa nchi ya kibeberu ya Marekani ambaye amekuja na siasa za kudharau na kupuuza sheria na mikataba yote ya kimataifa na ajenda yake kuu ni kujitoa kwenye mikataba ya kimataifa ikiwemo ya silaha. Hivi sasa dunia imekumbwa na changamoto kubwa inayotokana na kung'ang'ania Marekani kujitoa katika mikataba ya kudhibitiu silaha.

  • Kudumishwa ushirikiano mzuri wa Iran na Russia kinyume na matakwa ya Marekani

    Kudumishwa ushirikiano mzuri wa Iran na Russia kinyume na matakwa ya Marekani

    Apr 26, 2019 05:49

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kwamba serikali za Tehran na Moscow zinahujumiwa na Marekani kutokana na nafasi yao huru.

  • Kim Jong-un: Marekani imekuwa na miamala ya upande mmoja katika mazungumzo

    Kim Jong-un: Marekani imekuwa na miamala ya upande mmoja katika mazungumzo

    Apr 26, 2019 03:35

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kuwa, kupatikana amani eneo la Rasi ya Korea kunategemea mienendo ya Marekani.

  • Bunge la Uingereza latahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia duniani

    Bunge la Uingereza latahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia duniani

    Apr 26, 2019 02:08

    Kamati ya Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Uingereza imetoa taarifa inayoonya juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia kati ya nchi zenye silaha hizo.

  • Ukosoaji wa Rais Vladmir Putin kuhusiana na miamala mibovu ya Marekani kimataifa

    Ukosoaji wa Rais Vladmir Putin kuhusiana na miamala mibovu ya Marekani kimataifa

    Apr 26, 2019 00:12

    Siasa za upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani, zimeibua mizozo mingi katika ngazi za kimataifa.

  • Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia

    Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia

    Apr 23, 2019 02:32

    Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekumbwa na msuguano mkubwa hasa baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli ya Julai 2016. Baada ya Uturuki kusambaratisha mapinduzi hayo, ilisema kuwa Marekani ilihusika katika njama hiyo na kwa msingi huo uhusiano wa nchi hizo mbili uliingia baridi.

  • Russia yakosoa vikali kitendo cha kutiwa mbaroni mwasisi wa mtandao wa kufichua siri wa WikiLeaks

    Russia yakosoa vikali kitendo cha kutiwa mbaroni mwasisi wa mtandao wa kufichua siri wa WikiLeaks

    Apr 12, 2019 03:29

    Serikali ya Russia imekosoa vikali kitendo cha kutiwa mbaroni mjini London, Uingereza mwasisi wa mtandao unaojishughulisha na kufichua siri na kashfa wa WikiLeaks.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS