Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Kremlin: Umoja wa Ulaya unataka vita, sio mazungumzo

    Kremlin: Umoja wa Ulaya unataka vita, sio mazungumzo

    Apr 25, 2025 02:46

    Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin), Dmitry Peskov amesema Umoja wa Ulaya umekuwa ukizuia juhudi za kidiplomasia za Washington na Moscow kwa ajili ya kumaliza mzozo wa Ukraine, na badala yake unafanya jitihada za kurefusha uhasama na mzozo huo.

  • Baghaei: Russia ina mchango athirifu katika mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani

    Baghaei: Russia ina mchango athirifu katika mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani

    Apr 23, 2025 02:11

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Russia ina nafasi na mchango athirifu katika kushughulikia faili la nyuklia la Iran.

  • Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine

    Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine

    Apr 21, 2025 02:24

    Marco Rubio Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa, Rais Donald Trump atajiondoa katika juhudi za kupatanisha makubaliano ya amani kati ya Russia na Ukraine ndani ya siku chache zijazo isipokuwa kama kutakuwa na dalili za wazi kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.

  • UN yapinga kuondolewa Taliban kwenye orodha iliyopigwa marufuku ya Russia

    UN yapinga kuondolewa Taliban kwenye orodha iliyopigwa marufuku ya Russia

    Apr 19, 2025 02:21

    Kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Russia wa kuliondoa kundi la Taliban kwenye orodha ya mashirika yaliyopigwa marufuku, Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba hatua hiyo haibadilishi hadhi ya Taliban katika taasisi hiyo na kwamba vikwazo vya kimataifa dhidi ya kundi hilo vitaendelea kuwepo.

  • Katibu Mkuu wa UN: Umiminikaji wa silaha na wapiganaji nchini Sudan unatia wasiwasi

    Katibu Mkuu wa UN: Umiminikaji wa silaha na wapiganaji nchini Sudan unatia wasiwasi

    Apr 16, 2025 11:30

    Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vinatimiza miaka miwili na kuanza mwaka wa tatu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, anatiwa wasiwasi na namna silaha na wapiganaji wanavyoendelea kumiminika nchini humo.

  • Iran yasisitiza kuhusu kulindwa misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Iran yasisitiza kuhusu kulindwa misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Apr 16, 2025 02:19

    Katika mkutano wa ngazi ya juu wa Kundi la Marafiki wa Kulinda Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliofanyika Moscow, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisheria na kimataifa, Kazem Gharibabadi, amesisitiza umuhimu wa kufufua mfumo wa kimataifa wa pande nyingi (multilateralism) na kulinda misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Kuimarishwa biashara kati ya Iran na Eurasia; hatua ya kimkakati

    Kuimarishwa biashara kati ya Iran na Eurasia; hatua ya kimkakati

    Apr 15, 2025 14:44

    Biashara kati ya Iran na Umoja wa Kiuchumi wa Nchi za Eurasia imekuwa ikistawi siku hadi siku licha ya vikwazo vikubwa vya kiuchumi vilivyowekwa na Magharibi dhidi ya Iran. Kwa mujibu wa tawimu mpya zilizotolewa hivi karibuni, uuzaji bidhaa za Iran kwa nchi wanachama wa umoja huo katika mwaka uliopita uliongezeka kwa asilimia 20 na kufikia karibu dola bilioni mbili.

  • Russia: Hatukimbizani na yeyote ili kupata ahueni ya vikwazo

    Russia: Hatukimbizani na yeyote ili kupata ahueni ya vikwazo

    Apr 15, 2025 07:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema katika hali ambayo biashara kati ya nchi hiyo na Marekani imeshuhudia mdororo mkubwa kutokana na "vikwazo haramu vya Washington," lakini Moscow "haikimbizani na mtu yeyote" kwa ajili ya kuondolewa vizuizi hivyo.

  • A/Kusini: Russia ni mshirika wetu mkuu katika sekta ya anga za mbali

    A/Kusini: Russia ni mshirika wetu mkuu katika sekta ya anga za mbali

    Apr 15, 2025 03:14

    Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kitaifa la Anga za Mbali la Afrika Kusini (SANSA) amesema Russia ni mshirika mkuu wa Afrika Kusini katika kuendeleza mipango yake ya kitaifa ya anga za juu.

  • Zakharova:Tunasubiri kwa hamu safari ya ujumbe wa Iran mjini Moscow

    Zakharova:Tunasubiri kwa hamu safari ya ujumbe wa Iran mjini Moscow

    Apr 14, 2025 13:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa nchi hiyo inasubiri kwa hamu ziara ya ujumbe wa Iran mjini Moscow ili kukutana na kuzungumza na wenzao wa Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS