-
Kuidhinishwa makubaliano ya pande zote baina ya Iran na Russia katika Duma kuna umuhimu gani?
Apr 10, 2025 02:49Bunge la Duma la Russia Jumanne (Aprili 8) liliidhinisha Mkataba wa Ushirikiano Kamili wa Kimkakati kati ya Russia na Iran.
-
Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika
Apr 06, 2025 07:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa Muungano wa Nchi za Sahel barani Afrika katika nyanja za ulinzi, usalama na uchumi.
-
M23 yatishia kulipiza kisasi dhidi ya jeshi la serikali ya DRC, yadai linashambulia raia Walikale
Apr 05, 2025 02:36Kundi la waasi la M23 limetishia kulipiza kisasi iwapo majeshi ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yataendelea kushambulia raia katika eneo la Walikale.
-
Russia: Tuko tayari kuunga mkono uhuru wa kidijitali wa Afrika
Apr 03, 2025 02:31Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya kujitawala nchi za bara hilo.
-
Russia nayo yaionya Washington kuhusu shambulio lolote dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran
Apr 02, 2025 02:30Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kwamba shambulio lolote dhidi ya miundombinu ya nyuklia ya Iran linaweza kuwa na madhara makubwa kwa eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
China: Tuko tayari kustawisha uhusiano wa kijeshi na Iran na Russia
Mar 30, 2025 02:38Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amezungumzia mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyofanywa na majeshi ya Wanamaji ya nchi hiyo, Iran na Russia na kusisitiza kuwa Beijing iko tayari kustawisha ushirikiano wa kijeshi na nchi hizo mbili.
-
Russia: BRICS kuanzisha mfumo wa malipo wa 'dijitali' kwa wanachama
Mar 29, 2025 03:12Waziri wa Fedha wa Russia amesema kuwa nchi wanachama wa kundi la BRICS zinachunguza hatua kadhaa za ubunifu wa kifedha ikiwemo kuanzisha mfumo wa malipo wa kidijitali ili kutoa huduma za kifedha ndani ya kambi hiyo ya kiuchumi.
-
Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa
Mar 28, 2025 06:04Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa changamoto za kiusalama duniani ni kubwa kiasi kwamba Ulaya na Marekani pake yazo haziwezi kukabiliana nazo.
-
Rais Putin: Watu wa Magharibi hawaielewi Russia
Mar 28, 2025 02:27Rais Vladimir Putin amesema baadhi ya watu katika nchi za Magharibi hawaielewi Russia, lakini amesisitiza kuwa ukweli huo hauwezi kutatiza hata kidogo ustawi na maendeleo ya nchi hiyo.
-
Upinzani wa serikali ya Trump dhidi ya hatua za Ulaya za kupinga Russia
Mar 26, 2025 02:39Baada ya kuchaguliwa tena kwa mara ya pili Rais Donald Trump wa Marekani sasa amegeukia mazungumzo ya moja kwa moja na Russia nchini Saudi Arabia ili kutimiza ahadi aliyotoa ya kuhitimisha vita huko Ukraine ambapo jumbe za Marekani na Russia tayari zimefanya duru ya pili ya mazungumzo huko Riyadh Saudi Arabia kuhusiana na suala hilo.