-
Mufti wa Moscow: Kuingia waziri Mzayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni hatua ya kichochezi
Aug 06, 2025 03:55Naibu Mkuu wa Idara ya Masuala ya Dini ya Kiislamu ya Russia kwa ajili ya Masuala ya Kimataifa na Hija na Mufti wa Mkoa wa Moscow amesema: Waislamu wa Russia wanaitambua hatua ya Itamar Ben-Gvir ya kuvamia na kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa kuwa ya kichochezi.
-
Russia: Tutazidisha ushirikiano wetu na BRICS ili kukabiliana na vikwazo vya Marekani
Aug 05, 2025 07:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova ametangaza kuwa, Moscow iko tayari kuongeza ushirikiano na nchi wanachama wa kundi la kiuchumi la BRICS ili kukabiliana na mashinikizo ya vikwazo haramu vya Marekani.
-
Russia yalaani tishio jipya la Trump dhidi ya taasisi za nyuklia za Iran
Jul 31, 2025 07:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amelaani matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema: "Vitisho vya mara kwa mara dhidi ya Iran vya kufanya mashambulizi mapya ya makombora na kushambulia vituo vya nyuklia vya nchi hiyo vimeibua wasiwasi mkubwa."
-
Russia yatoa sharti la kufanyika mkutano wa ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky
Jul 24, 2025 06:42Kiongozi mkuu wa ujumbe wa Russia katika mazungumzo na Ukraine, Vladimir Medinsky amesema, viongozi wa nchi hizo mbili inapasa wakutane baada ya mkataba wa amani kuwa tayari kutiwa saini, si vinginevyo.
-
Zelensky ataka afanye mazungumzo binafsi na Putin
Jul 20, 2025 14:52Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika mazungumzo binafsi kati yake na Rais Vladimir Putin wa Russia, akisema hiyo ndiyo njia pekee ya kupatikana amani ya kudumu.
-
Sababu za India kupinga sera za kindumakuwili za EU ni zipi?
Jul 19, 2025 09:38Wizara ya Mambo ya Nje ya India imepinga vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia na kiwanda cha kusafisha mafuta cha India na pia "sera za kindumakuwili" za umoja huo katika uga wa biashara ya nishati.
-
Kremlin: Hatuna habari kuhusu mkutano wa Putin, Trump, Xi
Jul 19, 2025 05:43Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema hana ufahamu wowote kuhusu taarifa kwamba Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, mwenzake wa Marekani, Donald Trump na kiongozi wa China Xi Jinping watakutana nchini China karibuni hivi.
-
Russia: Mashambulio ya karibuni ya Israel dhidi ya Syria yanastahili kulaaniwa 'vikali'
Jul 17, 2025 13:27Russia imesema, mashambulio ya karibuni yaliyofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Syria yanastahili kulaaniwa "vikali".
-
Novak: Ushirikiano wa Russia, Nigeria ni muhimu kwa uthabiti wa soko la mafuta
Jul 16, 2025 13:33Naibu Waziri Mkuu wa Russia, Alexander Novak amesema ushirikiano wa nchi hiyo na Nigeria katika fremu ya OPEC+ una nafasi muhimu katika kudumisha uthabiti wa soko la mafuta duniani.
-
Russia yatoa mjibizo kwa muhula wa siku 50 iliopewa na Trump
Jul 16, 2025 06:44Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema, Russia inahitaji muda kutathmini kitisho alichotoa Rais wa Marekani Donald Trump cha kuwawekea vikwazo vikali washirika wa kibiashara wa Moscow ikiwa mzozo wa Ukraine hautatatuliwa ndani ya siku 50.