-
Russia yakadhibisha madai ya Axios kuhusu urutubishaji urani wa Iran
Jul 14, 2025 02:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema madai ya tovuti ya habari ya Marekani ya Axios kwamba Rais Vladimir Putin wa Russia ameiomba Iran isirutubishe madini ya uranium kuwa "kampeni chafu ya kisiasa" .
-
Putin: Migongano kati ya Russia na Magharibi haihusiani na idiolojia
Jul 13, 2025 16:28Rais Vladimir Putin wa Russia amesema malengo ya kiukiritimba ya mataifa ya Magharibi na kutupilia mbali kwao wasiwasi wa kiusalama wa nchi yake ndivyo vilivyosababisha mzozo unaoendelea hivi sasa kati ya Moscow na Magharibi.
-
Russia yaonya US, waitifaki: Msiitishie Russia na Korea Kaskazini
Jul 12, 2025 16:45Moscow imeionya Marekani na waitifaki wake dhidi ya kuzitishia Russia na Korea Kaskazini.
-
Russia: Kurutubisha Iran urani kwa 60% ni mjibizo kwa vikwazo ilivyowekewa
Jul 08, 2025 14:06Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna amesema, hatua ya Iran kurutubisha madini ya urani hadi kiwango cha asilimia 60 ni mjibizo kwa vikwazo na mashinikizo ya kimataifa inayowekewa.
-
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia watungua droni 400 za Ukraine
Jul 07, 2025 11:15Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa Jeshi la anga la nchi hiyo limefanikiwa kudungua ndege zisizo na rubani 402 za Ukraine na mabomu saba ya angani yaliyokuwa yakiongozwa tokea mbali.
-
Rais Putin: BRICS imeipiku G7 katika utendaji kazi, GDP
Jul 07, 2025 07:11Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kundi la BRICS limelishinda kundi la G7 linalotawaliwa na nchi za Magharibi, kwa Pato Ghafi la Taifa (GDP).
-
Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine
Jul 04, 2025 12:26Katika hali ambayo Ukraine imekuwa ikishambuliwa vikali kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya Russia katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesitisha baadhi ya shehena za kijeshi ilizoahidiwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya Patriot na Hellfire.
-
Russia yajibu baada ya Trump 'kumtishia nyau' Putin eti 'anacheza na moto'
May 28, 2025 06:48Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa matamshi ambayo yanaonekana ya kumtishia mwenzake wa Russia, Vladimir Putin, ambapo amesema "anacheza na moto," bila kufafanua nini hasa anamaanisha.
-
Ghana: Afrika ipo tayari kushirikiana na Russia kuunda mustakabali wa kimataifa
May 27, 2025 07:05Mbunge wa Ghana amesema Afrika iko tayari kuwa nguvu muhimu katika maendeleo ya kimataifa, akikaribisha uhusiano unaozidi kustawi wa bara hilo na Russia, alioutaja kama njia ya maendeleo endelevu.
-
"Msingi wa uhusiano wa Russia, Afrika ni mshikamano wa zama za Sovieti"
May 21, 2025 02:26Russia imesema serikali nyingi za Kiafrika zimedumisha msimamo huru, uliojikita katika kutoingilia kati masuala ya nchi nyingine, kuheshimu mamlaka ya kujitawala na uhuru wa kitaifa, na zimekataa kupasisha vikwazo dhidi ya Russia licha ya mashinikizo makubwa kutoka kwa nchi za Magharibi.