Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Spika wa Russia: Mwenendo wa sarafu ya dola kuacha kutumiwa kimataifa hauwezi kusita

    Spika wa Russia: Mwenendo wa sarafu ya dola kuacha kutumiwa kimataifa hauwezi kusita

    Jul 27, 2022 03:34

    Spika wa bunge la taifa la Russia la Duma amesisitiza kuwa mwenendo wa sarafu ya dola ya Marekani kuacha kutumiwa katika miamala ya kimataifa umeanza na hakuna njia yoyote ya kuweza kuusitisha.

  • Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

    Jul 26, 2022 07:04

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika.

  • Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya

    Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya

    Jul 26, 2022 02:03

    Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameanza safari yake ya siku 5 barani Afrika kwa kuitembelea Misri ambako aliwasili Jumapili, Julai 24.

  • Magharibi yahaha kukabiliana na makombora ya

    Magharibi yahaha kukabiliana na makombora ya "Hypersonic" ya China na Russia

    Jul 25, 2022 21:59

    Mashirika ya silaha ya Uingereza na Marekani hivi sasa yanahaha kuongeza nguvu zao za kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na makombora yanayokwenda kwa kasi ya ajabu maarufu kwa jina la makombora ya hypersonic, ya Russia na China.

  • Mbunge wa Russia: Kambi za kijeshi karibu na bandari ya Odessa nchini Ukraine zilishambuliwa kwa mabomu

    Mbunge wa Russia: Kambi za kijeshi karibu na bandari ya Odessa nchini Ukraine zilishambuliwa kwa mabomu

    Jul 24, 2022 06:37

    Mbunge mmoja wa Russia amethibitisha kufanyika shambulio la anga kwenye viunga vya bandari ya Odessa nchini Ukraine na kuongeza kwamba ni vituo na kambi za kijeshi ndizo zililengwa katika shambulio hilo.

  • Waziri Mkuu wa Hungary: Vikwazo dhidi ya Russia vimefeli

    Waziri Mkuu wa Hungary: Vikwazo dhidi ya Russia vimefeli

    Jul 24, 2022 03:03

    Waziri Mkuu wa Hungary amekiri kuwa vikwazo shadidi vya Wamagharibi dhidi ya Russia vimefeli na kugonga mwamba, na kusisitiza kwamba serikali za nchi za Ulaya zinaporomoka.

  • Kusainiwa mkataba wa mauzo ya nafaka kutoka Ukraine, mwanzo wa kutatua mgogoro wa chakula duniani

    Kusainiwa mkataba wa mauzo ya nafaka kutoka Ukraine, mwanzo wa kutatua mgogoro wa chakula duniani

    Jul 23, 2022 06:42

    Jana Ijumaa, Ukraine, Uturuki na Umoja wa Mataifa zilitia saini makubaliano ya kutatua mgogoro wa nafaka duniani. Mkataba huo ulitiwa saini kati ya Oleksandr Kubrakov, Waziri wa Miundombinu wa Ukraine, Kholusi Akar Waziri wa Ulinzi wa Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergei Shoigu.

  • Mgogoro wa chakula ulimwenguni  kupungua baada ya Russia, Ukraine kusaini mapatano ya nafaka

    Mgogoro wa chakula ulimwenguni kupungua baada ya Russia, Ukraine kusaini mapatano ya nafaka

    Jul 23, 2022 02:23

    Russia na Ukraine zimesaini mapatano pamoja na Umoja wa Mataifa na Uturuki kuhusu kuanza tena usafirishaji wa nafaka huku kukiwa na matumaini kuwa makubaliano hayo yatapunguza shida ya chakula ulimwenguni.

  • Russia yaanza ujenzi wa kituo cha kwanza cha nyuklia nchini Misri

    Russia yaanza ujenzi wa kituo cha kwanza cha nyuklia nchini Misri

    Jul 22, 2022 03:21

    Shirika la Taifa la Nishati ya Nyuklia la Russia ROSATOM limeanza awamu ya kwanza ya ujenzi wa kituo cha kwanza cha nyuklia nchini Misri.

  • Russia yatishia kusimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi

    Russia yatishia kusimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi

    Jul 21, 2022 07:09

    Russia imetishia kuwa itaacha kuuza mafuta yake ghafi nje ya nchi hiyo iwapo nchi za Magharibi zitatekeleza mpango wao wa kuweka kibano katika bei ya mauzo ya bidhaa hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS