Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Mustakabali mwema katika Muungano wa China, Russia na Iran

    Mustakabali mwema katika Muungano wa China, Russia na Iran

    Jul 21, 2022 03:10

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amesema China, Russia na Iran zitaunda muungano mkubwa katika mustakabali wa dunia.

  • Rais wa zamani wa Russia aonya kuhusu 'Siku ya Kiyama'

    Rais wa zamani wa Russia aonya kuhusu 'Siku ya Kiyama'

    Jul 18, 2022 03:06

    Rais wa zamani wa Russia ameionya vikali Ukraine na kusema kuwa, iwapo Kiev itathubutu kulishambulia eneo la Crimea, basi Kiyama kitawafikia wao pamoja na washirika wao kwa wakati mmoja.

  • Marandi: Makubaliano ya Marekani na Iran ni hatua erevu ya kuzuia mgogoro wa nishati

    Marandi: Makubaliano ya Marekani na Iran ni hatua erevu ya kuzuia mgogoro wa nishati

    Jul 17, 2022 07:21

    Mohammad Marandi, mchambuzi mwandamizi wa masuala ya kisiasa na mitaala kuhusu Marekani amesema makubaliano kati ya Marekani na Iran ni hatua erevu ambayo kama itachukuliwa itazuia kutokea mgogoro wa nishati katika nchi za Magharibi.

  • Kuendelea mpambano wa Magharibi mkabala wa Russia; mara hii vikwazo vya dhahabu

    Kuendelea mpambano wa Magharibi mkabala wa Russia; mara hii vikwazo vya dhahabu

    Jul 16, 2022 23:25

    Nchi za Magharibi zinaendelea kustafidi na wenzo wa mashinikizo kwa Russia kupitia njia mbalimbali kama kuiwekea nchi hiyo vifurushi vya vikwazo vipya kufuatia hatua yake ya kuanzisha vita dhidi ya Ukraine; ambapo Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa uuzaji nje wa dhahabu kutoka Russia utajumuishwa katika kalibu ya vikwazo vipya vya umoja huo.

  • Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya

    Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya

    Jul 13, 2022 22:48

    Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.

  • Russia: Kuondolewa vikwazo na Magharibi kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani

    Russia: Kuondolewa vikwazo na Magharibi kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani

    Jul 12, 2022 02:48

    Waziri wa fedha wa Russia amesema, kuondolewa vikwazo na Magharibi dhidi ya nchi hiyo kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani na akafafanua kwamba, kuhusu ni kwa muda gani bei za nishati na vyakula zitaendelea kuwa za juu, hilo litategemea na muda vitakaochukua vikwazo vilivyowekwa na Magharibi.

  • Marekani na waitifaki wake wa Ulaya wanatafuta njia ya kuhitimisha vita vya Ukraine kidiplomasia

    Marekani na waitifaki wake wa Ulaya wanatafuta njia ya kuhitimisha vita vya Ukraine kidiplomasia

    Jul 09, 2022 22:18

    Gazeti la Kijerumani la Die Welt limeripoti kuwa, Marekani na waitifaki wakuu wa Magharibi wanafanya mazungumzo kwa siri ili kutafuta njia za kidiplomasia za kuhitimisha vita na mapigano nchini Ukraine.

  • Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Jul 07, 2022 03:26

    Jeshi la Russia limetangaza habari ya kusambaratisha mifumo miwili ya makombora aina ya HIMARS ya Marekani mashariki mwa Ukraine.

  • Waziri wa Ulinzi wa Russia: Magharibi imeipatia Ukraine tani 28,000 za silaha

    Waziri wa Ulinzi wa Russia: Magharibi imeipatia Ukraine tani 28,000 za silaha

    Jul 06, 2022 01:23

    Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kutuma silaha nchini Ukraine kwa kisingizio cha kurefusha vita na hadi sasa zimepeleka zaidi ya tani elfu 28 za silaha huko Ukraine.

  • "Putin" na sera ya ubeberu ya shirika la NATO

    Jul 01, 2022 04:15

    Rais wa Russia, Vladimir Putin, amelaani "sera za kupenda makuu" za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), ambalo anaamini linalenga kuimarisha "ubeberu" wake kupitia vita vya Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS