-
Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine
Jun 30, 2022 20:33Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.
-
Russia: Iran na Argentina zameomba rasmi uwanachama katika BRICS
Jun 28, 2022 06:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia amethibitisha kuwa Iran na Argentina zimetuma maombi ya kuwa wanachama katika jumuiya ya BRICS.
-
Putin kufanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu Russia ilipoanzisha vita dhidi ya Ukraine
Jun 27, 2022 03:13Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa rais Vladimir Putin wa nchi hiyo atafanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu vilipoanza vita nchini Ukraine kwa kutembelea nchi mbili za eneo la Asia ya Kati.
-
Russia: Hatutajiunga na Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Nyuklia
Jun 25, 2022 07:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Moscow haitajiunga na Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Nyuklia (TPNW).
-
Lavrov: Russia inaunga mkono msimamo wa Iran katika kufufua JCPOA
Jun 23, 2022 08:00Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake inaunga mkono, bila kuongezwa wala kupunguzwa, yaliyomo katika msimamo wa Iran kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Raisi asisitiza: Ni marufuku kuwepo kivyovyote na kuingilia nchi ajinabi katika bahari ya Kaspi
Jun 23, 2022 03:33Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu umuhimu wa kushirikiana nchi majirani katika eneo la Kaspi na kupigwa marufuku uwepo wowote wa wanajeshi ajinabi katika eneo hilo hasa katika mazingira maalumu ya eneo la Pwani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Majenerali 50 wa jeshi la Ukraine wauawa katika shambulio la makombora
Jun 19, 2022 23:51Wizara ya Ulinzi wa Russia imesema majenerali zaidi ya 50 wa jeshi la Ukraine wameuawa katika shambulio la makombora ya Kalibr karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha katika eneo la Dnepropetrovsk, katikati mwa Ukraine.
-
Kuendelea mtikisiko katika soko la nishati, Russia yaikatia gesi Ufaransa
Jun 19, 2022 22:03Huku vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi kuwekewa Moscow, mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhaminia nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo muhimu.
-
Putin: US, EU ziwajibishwe dunia ikitumbukia kwenye baa la njaa
Jun 18, 2022 06:59Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ukoloni mamboleo ndio umesababisha migogoro wa kibinadamu inayoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali duniani; na kwamba Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazopaswa kubebeshwa dhima iwapo dunia itatumbukia kwenye baa la njaa.
-
Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus
Jun 17, 2022 05:29Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika awamu mpya yenye mivutano baada ya mashambuizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kujiunga na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.