Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Jun 17, 2022 05:29

    Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika awamu mpya yenye mivutano baada ya mashambuizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kujiunga na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.

  • Russia: Israel iache mashambulizi dhidi ya Syria au isubiri matokeo mabaya

    Russia: Israel iache mashambulizi dhidi ya Syria au isubiri matokeo mabaya

    Jun 13, 2022 05:44

    Balozi wa Russia nchini Syria amelaani vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Russia yasambaratisha ghala kubwa la silaha za Magharibi nchini Ukraine

    Russia yasambaratisha ghala kubwa la silaha za Magharibi nchini Ukraine

    Jun 12, 2022 22:45

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limesambaratisha ghala kubwa la silaha za nchi za Magharibi katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine.

  • Russia yalaani shambulio la Israel katika uwanja wa ndege wa Damascus Syria

    Russia yalaani shambulio la Israel katika uwanja wa ndege wa Damascus Syria

    Jun 11, 2022 02:56

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani jinai ya utawala wa Kizayuni ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Russia: Azimio la IAEA dhidi ya Iran ni la kipumbavu

    Russia: Azimio la IAEA dhidi ya Iran ni la kipumbavu

    Jun 10, 2022 21:58

    Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yao mjini Vienna, Austria amelitaja azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA dhidi ya Iran kuwa ni la kipumbavu.

  • Russia yaonya kuhusu uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na kambi ya Magharibi

    Russia yaonya kuhusu uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na kambi ya Magharibi

    Jun 10, 2022 21:53

    Russia imezionya nchi za Magharibi kuwa hujuma ya kiintaneti dhidi ya miundomsingi yake ni jambo ambalo litaibua hatari ya kutokea makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi. Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa na kusema kuwa, miundomsingi ya kijeshi na ya baadhi ya taasisi za kiserikali nchini humo imekumbwa na hujuma ya kiintaneti ambayo imetekelezwa na makundi ya wadukuzi wa Marekani na Ukraine.

  • Umoja wa Afrika wataka Russia iondolewe vikwazo

    Umoja wa Afrika wataka Russia iondolewe vikwazo

    Jun 04, 2022 03:11

    Vikwazo dhidi ya Russia katika nyanja ya usambazaji wa kimataifa wa nafaka na mbolea vinapaswa kuondolewa, Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall alisema Ijumaa baada ya mazungumzo na Rais wa Russia Vladimir Putin.

  • Medvedev: Russia iko kwenye vita vinavyopiganwa kwa niaba ya Marekani na Ulaya

    Medvedev: Russia iko kwenye vita vinavyopiganwa kwa niaba ya Marekani na Ulaya

    Jun 03, 2022 23:37

    Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema, nchi yake iko kwenye vita vinavyopiganwa kwa niaba ya Marekani na Ulaya na akasisitiza kuwa kuna ulazima wa kuzuia kutokea vita vya atomiki.

  • Russia yafanya mazoezi ya kijeshi ya nyuklia huku mivutano na Magharibi ikiongezeka

    Russia yafanya mazoezi ya kijeshi ya nyuklia huku mivutano na Magharibi ikiongezeka

    Jun 01, 2022 03:12

    Duru za habari zimeripoti kuwa vikosi vya atomiki vya jeshi la Russia vimefanya mazoezi ya nyuklia katika eneo lililoko kaskazini mashariki ya mji mkuu wa nchi hiyo Moscow.

  • Umoja wa Ulaya washindwa kuiwekea Russia vikwazo vya mafuta; hitilafu zaongezeka

    Umoja wa Ulaya washindwa kuiwekea Russia vikwazo vya mafuta; hitilafu zaongezeka

    May 30, 2022 06:32

    Jitihada za Umoja wa Ulaya za kufikia muafaka kuhusu kutekeleza awamu ya sita ya vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kwani Hungary ni moja ya wapinzani wakubwa zaidi wa mpango huo. Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya katika kikao chao maalumu cha Jumapili walijadili mpango wa kuzuia meli za mafuta za Russia kuingiza mafuta Ulaya lakini waruhusu mafuta hayo yaingie kwa mabomba. Hata hivyo mazungumzo hayo yalimalizika bila natija.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS