Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Wapalestina 160 wanateseka katika jela za Saudi Arabia hivi sasa

    Wapalestina 160 wanateseka katika jela za Saudi Arabia hivi sasa

    Jun 19, 2021 21:53

    Shirika la habari la "Palestine Today" limetangaza kuwa, sasa hivi kuna Wapalestina 160 wanaoteseka katika jela za ukoo wa Aal Saud nchini Saudi Arabia. Wapalestina hao wanashikiliwa kwenye jela hizo za Saudi Arabia kwa tuhuma za kuwa wanachama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Saudia yawavurumishia maroketi wananchi wa Yemen

    Saudia yawavurumishia maroketi wananchi wa Yemen

    Jun 17, 2021 03:31

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa wimbi la mashambulio ya kikatili dhidi ya Yemen, muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia umeyavurumishia maroketi makazi ya raia katika mikoa kadhaa ya nchi hiyo maskini jirani yake.

  • Jeshi la Yemen latoa picha za askari wa Saudia, mamluki wa Sudan waliokamatwa

    Jeshi la Yemen latoa picha za askari wa Saudia, mamluki wa Sudan waliokamatwa

    Jun 15, 2021 22:04

    Idara ya Upashaji Habari ya Kamandi Kuu ya Operesheni za Yemen imesambaza picha na mahojiano waliofanyiwa wanajeshi kadhaa wa Saudia, na mamluki wa Sudan waliokamatwa na vikosi vya Yemen katika operesheni ya hivi karibu katika mkoa wa Jizan, huko kusini mwa Saudi Arabia.

  • Makumi ya wanajeshi wa Saudia waangamizwa mkoa wa Jizan

    Makumi ya wanajeshi wa Saudia waangamizwa mkoa wa Jizan

    May 30, 2021 03:16

    Operesheni iliyofanywa na jeshi la Yemen huko kusini mwa Saudi Arabia imeangamiza na kujeruhi makumi ya wanajeshi wa utawala huo wa kifalme.

  • Hizbullah ya Iraq: Wazayuni na Marekani wakiishambulia Saudia, tutakuwa wa mbele kuihami

    Hizbullah ya Iraq: Wazayuni na Marekani wakiishambulia Saudia, tutakuwa wa mbele kuihami

    May 06, 2021 21:52

    Msemaji wa harakati ya muqawama ya Kataeb Hizbullah ya Iraq amesema, misingi ya muqawama haiwezi kubadilika na akabainisha kuwa, endapo Saudi Arabia itakabiliwa na hatari ya kushambuliwa na Wazayuni na Marekani, mhimili wa muqawama utakuwa wa mbele kuliko yeyote yule kuihami nchi hiyo.

  • Safari ya pili ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia nchini Qatar katika kipindi cha chini ya miezi miwili

    Safari ya pili ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia nchini Qatar katika kipindi cha chini ya miezi miwili

    Apr 29, 2021 05:00

    Faisal bin Farhan bin Abdallah Al Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia alasiri ya Aprili 26 aliwasili Doha mji mkuu wa Qatar ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.

  • Saudia inaongoza katika nchi za Kiarabu na ni ya sita duniani kwa bajeti kubwa ya kijeshi

    Saudia inaongoza katika nchi za Kiarabu na ni ya sita duniani kwa bajeti kubwa ya kijeshi

    Apr 27, 2021 23:14

    Taasisi ya kimataifa ya tafiti za masuala ya amani ya Stockholm imeeleza katika ripoti yake kuwa, Saudi Arabia inashika nafasi ya kwanza kati ya nchi za Kiarabu na ni ya sita kati ya nchi zote duniani kwa kutumia fedha nyingi kwa ajili ya bajeti ya masuala ya kijeshi.

  • Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni mraibu wa dawa za kulevya

    Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni mraibu wa dawa za kulevya

    Apr 26, 2021 23:50

    Mtandao wa Saudi Leaks umefichua kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anatumia dawa za kulevya ni ni mraibu wa heroni.

  • Yafichuka: Bin Salman anahonga vyombo vya habari ili kusafisha sura yake duniani

    Yafichuka: Bin Salman anahonga vyombo vya habari ili kusafisha sura yake duniani

    Apr 25, 2021 07:49

    Mtandao mmoja wa habari nchini Marekani umefichua kuwa, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman amefunga mkataba wa gharama kubwa ya fedha na kampuni moja ya Marekani kwa shabaha ya kuboresha sura yake iliyochafuka sana mbele ya macho ya walimwengu.

  • Mamluki wa Saudia na Imarati wapigana wao kwa wao kusini mwa Yemen

    Mamluki wa Saudia na Imarati wapigana wao kwa wao kusini mwa Yemen

    Apr 12, 2021 06:54

    Mamluki wa kundi linalojiita Baraza la Mpito la Kusini lenye mfungamano na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na wale wa serikali iliyojiuzulu ya Yemen wenye mfungamano na Saudi Arabia kwa mara nyingine tena wamepigana wao kwa wao huko kusini mwa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS