Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • 2019, mwaka wa kunyongwa watu zaidi nchini Saudi Arabia

    2019, mwaka wa kunyongwa watu zaidi nchini Saudi Arabia

    Jul 12, 2019 01:27

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa kesi za kunyongwa watu nchini Saudi Arabia zimeongezeka mara mbili katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2019.

  • Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ataka Saudi Arabia iwekewe vikwazo, mauaji ya Khashoggi

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ataka Saudi Arabia iwekewe vikwazo, mauaji ya Khashoggi

    Jul 03, 2019 08:27

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia jinai za mauaji ametaka Saudi Arabia iwekewe vikwazo kutokana na mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo.

  • Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?

    Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?

    Jun 29, 2019 23:46

    Baadhi ya duru za habari zimeripoti kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umepunguza idadi ya askari wake waliokuwa katika mji wa Aden huko kusini mwa Yemen.

  • Waziri Mkuu wa Palestina: Wapalestina wanataka uhuru na si sadaka

    Waziri Mkuu wa Palestina: Wapalestina wanataka uhuru na si sadaka

    Jun 25, 2019 22:27

    Waziri Mkuu wa Palestina amesema kuwa mhandisi na mtayarishaji wa mpango wa Kimarekani wa eti amani ya Mashariki ya Kati wa Muamala wa Karne unaosimamiwa na mkwe wa Rais Donald Trump, Jared Kushner na wenzake hawaelewi kuwa Wapalestina hawataki sadaka bali wanadai haki zao za kuwa huru na kukomeshwa uvamizi wa Israel na udhibiti wa dola hilo haramu wa maisha na uchumi wao.

  • HRW: Saudi Arabia inapanga kumnyonga mtafiti Hassan al Maliki

    HRW: Saudi Arabia inapanga kumnyonga mtafiti Hassan al Maliki

    Jun 24, 2019 00:53

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rigths Watch limetangaza kuwa utawala wa Saudi Arabia unakusudia kumhukumu na kumnyonga msomi na mtafiti maarufu Hassan Farhan al Maliki.

  • Jeshi la Yemen laua askari 8 wa Saudia, latungua drone nyingine ya Riyadh

    Jeshi la Yemen laua askari 8 wa Saudia, latungua drone nyingine ya Riyadh

    Jun 23, 2019 22:27

    Jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo vimejibu mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Aal-Saud, kwa kuua wanajeshi wanane wa Saudia katika mkoa wa Najran, kusini magharibi mwa Saudi Arabia mpakani na Yemen.

  • Yemen yatekeleza shambulizi jingine la ulipizaji kisasi katika uwanja wa ndege wa Abha, Saudia

    Yemen yatekeleza shambulizi jingine la ulipizaji kisasi katika uwanja wa ndege wa Abha, Saudia

    Jun 17, 2019 08:23

    Vikosi vya Yemen vimetekeleza shambulizi jingine la ulipizaji kisasi kwa kuulenga uwanja wa ndege wa Abha, katika mkoa wa Asir kusini mwa Saudi Arabia. Shambulizi hilo limetekelezwa ikiwa ni katika kulipiza kisasi mauaji ya wananchi wasio na hatia wa Yemen ambao wameuawa nchini humo katika mashambulizi ya Saudia na waitifaki wake katika kipindi cha miaka minne sasa.

  • Nafasi haribifu ya Saudia na Imarati katika kuzidisha mgogoro wa Sudan

    Nafasi haribifu ya Saudia na Imarati katika kuzidisha mgogoro wa Sudan

    Jun 17, 2019 07:04

    Mgogoro wa kisiasa wa Sudan umeshika mkondo mpya hususan baada ya mauaji ya raia zaidi ya mia moja waliokuwa wamekusanyika mbele ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo mjini Khartoum mapema mwezi huu.

  • Wayemen waushambulia tena uwanja wa ndege wa kimataifa wa Saudia; mara hii watumia droni tano

    Wayemen waushambulia tena uwanja wa ndege wa kimataifa wa Saudia; mara hii watumia droni tano

    Jun 14, 2019 02:58

    Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abha wa kusini mwa Saudi Arabia umeshambuliwa tena na jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen.

  • Kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia mjini Vienna kupigwa kufuli rasmi

    Kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia mjini Vienna kupigwa kufuli rasmi

    Jun 13, 2019 02:03

    Bange la Austria limepitisha kwa wingi wa kura mpango wa kukipiga kufuli kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudia mjini Vienna.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS