-
Wanaharakati wa haki za binadamu wakusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia Paris kulaani jinai za Aal Saud
May 03, 2019 22:22Kundi la wanaharakati wa msuala ya haki za binadamu limekusanyika tena mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Paris Ufaransa na kulaani jinai ya hivi karibuni ya Aal Saud ya kuwanyonga raia 37 wa nchi hiyo.
-
Ndege za kivita za kigeni zimehusika katika mashambulio ya Tripoli
Apr 29, 2019 01:51Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa ndege za kigeni zilishiriki katika mashambulio ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.
-
Iran yatoa onyo kwa Saudia na Bahrain zisimfuate kibubusa Trump
Apr 25, 2019 09:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa onyo kwa tawala za kiimla za Saudi Arabia na Bahrain zisimfuate kibubusa rais wa Marekani Donald Trump katika vikwazo vyake vya mafuta dhidi ya Iran na kuzitaka zifikirie matokeo mabaya ya hatua yao hiyo.
-
Makombora ya Ansarullah ya Yemen yanaweza kulenga maeneo muhimu Saudia, UAE
Apr 22, 2019 23:50Harakati ya wananchi ya Ansarullah nchini Yemen ambayo imekuwa ikiilinda nchi hiyo na ambayo inakabiliwa na hujuma inayoongozwa na Saudia imetahadharisha kuwa makombora yake yanaweza kulenga maeneo muhimu ya kistratijia ya Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) iwapo wavamizi hao watakataa kutii mapatano ya usitishwaji vita yaliyofikiwa kupitia upatanishi wa Umoja wa Mataifa.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan apigwa kalamu nyekundu kwa mashinikizo ya Saudia na Imarati
Apr 19, 2019 08:48Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan limempiga kalamu nyekundu Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuonyesha kuwa tayari kukutana na ujumbe wa Qatar.
-
Saudi Arabia inatumia adhabu ya kifo kuangamiza upinzani
Apr 13, 2019 10:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Amesty International linasema Saudi Arabia inatumia adhabu ya kifo kuwaangamiza wapinzani huku mrithi wa kiti cha ufalme Mohammad bin Salman akiendeleza ukandamizaji dhidi ya wahubiri wa Kiislamu, wanahabari na wasomi katika ufalme huo.
-
Yukiya Amano: Saudia ituwekee dhamana kuhusiana na miradi yake ya nyuklia
Apr 06, 2019 21:56Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Yukiya Amano ameitaka Saudi Arabia kuweka dhamana za kiusalama kuhusiana na kinu chake cha kwanza cha nyuklia.
-
Safari ya Mflame Salman wa Saudia nchini Bahrain, kuendelea kuuhami utawala wa Aal Khalifa
Apr 04, 2019 22:13Mfalme Salman Bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ameitembelea Bahrain katika safari fupi na kufanya mazungumzo na mfalme wa nchi hiyo Hamad bin Isa Aal Khalifa.
-
Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 90 wa Saudia vitani
Mar 29, 2019 11:24Jeshi la Yemen limetangaza kuwaangamiza mamluki 90 wa Saudi Arabia katika mji wa Sa'ada wakati wa kuzima hujuma kubwa ya Wasaudi dhidi ya mji huo wa kaskazini-magharibi mwa Yemen.
-
SIPRI: Saudia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani
Mar 11, 2019 23:17Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani.