-
Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote
Mar 10, 2019 23:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuwa na mvutano na nchi yoyote ile ikiwemo Saudi Arabia.
-
Afghanistan yaulaumu utawala wa Aal Saud kwa kuwawekea kodi nzito wahajiri wa nchi hiyo
Mar 09, 2019 01:09Imam wa swala ya Ijumaa mjini Kabul, mji mkuu wa Afghanistan ameukosoa vikali utawala wa Aal-Saud kutokana na hatua yake ya kuwawekea kodi nzito wahajiri wa Afghanistan waliokimbilia Saudia.
-
Amnesty International yaitaka Saudia iwaachie huru wanaharakati wa kike
Mar 08, 2019 10:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitisha maandamano mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Paris huko Ufaransa kulalamikia hatua ya serikali ya Riyadh ya kuendelea kuwashikilia wanaharakati wa kike wa kutetea haki za binadamu.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Mar 05, 2019 10:45Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Kongresi yataka kuchunguzwa ripoti kwamba, Saudia inatumia watoto wa Sudan katika vita vya Yemen
Mar 03, 2019 12:07Wabunge wa Kongresi ya Marekani wameanzisha mchakato wa kuitaka serikali ya nchi hiyo ianzishe uchunguzi kuhusu ripoti zinazosisitiza kuwa, Saudi Arabia na Imarati zinatumia watoto wa Sudan kama wapiganaji katika vita vya Yemen.
-
Nchi za Umoja wa Ulaya zajizuia kuiweka Saudia katika orodha ya utakatishaji wa fedha
Mar 02, 2019 04:15Katika miaka ya hivi karibuni, Saudi Arabia imekuwa na nafasi muhimu katika uhalifu wa makundi ya magaidi wakufurishaji katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani, kwa kuwapa magaidi hao misaada ya kila upande.
-
Amnesty yaitaka Uingereza kusitisha uuzaji silaha kwa Saudia
Mar 02, 2019 02:58Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Uingereza isitishe uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen.
-
UN yakosoa fichaficha ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Feb 28, 2019 23:46Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia visa vya kunyongwa watu kiholela na kinyume cha sheria amewatuhumu viongozi wa Saudi Arabia kuwa wanakwamisha uchunguzi wa faili la kesi ya mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa utawala huo, Jamal Khashoggi.
-
Kamanda wa jeshi la Saudia auzuliwa kufuatia vipigo mtawalia vya wapiganaji wa Yemen
Feb 18, 2019 03:43Utawala wa Aal Saud umemuuzulu kamanda wa Brigedi ya Mfalme Abdul Aziz ya jeshi la nchi hiyo kufuatia vipigo mtawalia na kushindwa vibaya jeshi hilo katika mapambano na jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen.
-
Erdogan aapa kufuatilia mauaji ya Khashoggi katika mahakama ya kimataifa
Feb 16, 2019 04:29Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema nchi yake iko mbioni kupeleka kesi ya mauaji ya mwanahabari mpinzani wa utawala wa Saudia Jammal Khasoggi katika mahakama ya kimataifa.