-
Nasrullah: Moja ya matunda ya Muqawama yalikuwa ni kusambaratisha mpango wa Mashariki ya Kati Mpya
Jul 13, 2022 22:47Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, mojawapo ya matunda muhimu zaidi ya mhimili wa Muqawama yalikuwa ni kuuzima mpango wa Marekani wa kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya.
-
Kiongozi wa HAMAS aonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah Beirut
Jun 23, 2022 07:58Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah
Jun 11, 2022 05:44Sayyid Hassan Nasrallah, ametoa hutuba kuhusu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupora utajiri wa nishati ya Lebanon ambapo amebainisha nukta kadhaa kuhusu kadhia hiyo.
-
Nasrullah: Hatua yoyote dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa itapelekea kutokea mlipuko Asia Magharibi
May 25, 2022 23:32Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kuuonya utawala haramu wa Israel amesisitiza kuwa, hatua yoyote iliyo dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa italilipua eneo la Asia Magharibi.
-
Ukosoaji wa Sayyid Nasrullah kwa wanaoziandama silaha za muqawama badala ya matatizo ya uchumi, katika kampeni za uchaguzi wa Lebanon
May 11, 2022 06:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah, amesema kuhusu matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na vituo kadhaa vya utafiti kwamba dukuduku la akthari ya watu wa Lebanon si silaha za Muqawama bali ni hali zao za maisha.
-
Nasrallah: Watu wa Lebanon hawapingi Hizbullah kumiliki silaha
May 10, 2022 00:03Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah ameashiria uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni na kusema tatizo la waliowengi nchini Lebanon si silaha za Hizbullah au Muqawama bali ni hali ya maisha.
-
Sayyid Nasrullah: Tutajibu papo hapo shambulizi lolote la Israel
Apr 29, 2022 22:35Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema uchaguzi uliopangwa kufanyika nchini humo hautaizuia harakati hiyo kujibu shambulio lolote la Israeli, akisisitiza kuwa Hizbullah itajibu papo hapo shambulio lolote la utawala huo haramu.
-
Nasrullah: Watu wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao dhidi ya Wazayuni
Apr 11, 2022 22:58Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, wananchi wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao ya ukombozi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Nasrullah akanusha madai ya kuwepo vikosi vya Hizbullah nchini Ukraine
Mar 19, 2022 08:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.
-
Mgogoro wa Ukraine kwa mtazamo wa Hassan Nasrullah; kuporomoka kimaadili Wamagharibi
Mar 10, 2022 22:59Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuporomoka kimaadili Wamagharibi.