-
Serbia: Tunakabiliwa na 'mapinduzi ya rangi' ya Magharibi
Mar 23, 2025 07:19Naibu Waziri Mkuu wa Serbia, Aleksandar Vulin amesema nchi hiyo ya eneo la Balkan inawajihiwa na tishio la "mapinduzi ya rangi" kutoka nchi za Magharibi.
-
Mahakama ya Kosovo yamhukumu raia wa Serbia miaka 13 jela kwa uhalifu wa kivita
Feb 03, 2024 07:10Mahakama ya Kosovo jana Ijumaa ilimhukumu raia wa Serbia aliyejulikana kwa jina la Dusko Arsic kifungo cha miaka 13 jela kwa uhalifu wa kivita, ikiwa ni pamoja na kuhusika katika unyanyasaji, kuwafukuza na kuwaua raia wa Albania huko Pristina wakati wa Vita vya Kosovo kuanzia mwaka 1998 hadi 1999.
-
Rais Rouhani: Umoja, dawa mjarabu ya kuzima ugaidi
Apr 17, 2016 10:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuenea jinai na ugaidi ni katika changamoto kuu zinaolikabili eneola Mashariki ya Kati na dunia nzima kwa ujumla na hivyo kuna haja ya watu wa dini mbali mbali kushirikiana kwa lengo la kukabiliana na matatizo hayo.