-
Shirika la Ujasusi la Russia: NATO inapanga kumuondoa madarakani rais wa Ukraine, Zelensky
Feb 04, 2025 06:58Shirika la kijeshi la NATO linafikiria kufanikisha mpango wa kumuondoa madarakani Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky kwa 'kumchafua' kabla ya uchaguzi ujao utakaofanyika mwakani. Hayo yameelezwa katika ripoti iliyotolewa na Shirika la Ujasusi la Russia la Nje ya Nchi (SVR).
-
Afrika Kusini: 'Tunaadhibiwa' kwa kugundua spishi mpya ya corona ya Omicron
Nov 27, 2021 09:36Afrika Kusini imesema, inahisi "inaadhibiwa" kwa kugundua spishi mpya ya kirusi cha corona aina ya Omicron kutokana na marufuku mbalimbali zilizowekwa zikiwemo za kuzuia wasafiri kutoka nchi za kusini mwa Afrika kuelekea mataifa mengine ya dunia.
-
WTO yatoa wito wa kutumwa chanjo ya corona kwenye nchi maskini
Apr 26, 2021 23:51Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) amezishukuru baadhi ya nchi kama India na China kwa kuziuzia nchi nyingine chanjo ya virosi vya corona na kuzitaka Marekani na Uingereza kufuata nyayo na kupeleka chanjo hiyo kwenye nchi maskini.
-
Indhari ya WTO ya kutokea mgogoro mkubwa zaidi wa kiuchumi katika historia ya mwanadamu
Apr 09, 2020 22:02Mlipuko wa virusi vya Corona na maradhi ya Covid-19 kwa sasa umeenea karibu katika mataifa yote ya ulimwengu.
-
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa kundi la G20; kusisitizwa ushirikiano na mabadiliko ya muundo wa Shirika la Biashara Duniani (WTO)
Dec 02, 2018 11:35Mkutano wa 13 wa viongozi wa kundi la G20 umefikia tamati katika hali ambayo, Marekani ilikabiliwa na hali ya kutengwa kikamilifu huku washiriki wa mkutano HUO wakisisitiza katika taarifa yao ya mwisho juu ya haja ya kufanyika mabadiliko katika muundo wa Shirika la Biashara Duniani (WTO), kuheshimiwa makubaliano ya tabiachi ya Paris na kuendelezwa siasa za ushirikiano.
-
Zaidi ya nchi 40 za dunia zapinga siasa za kibiashara za Trump
Jul 03, 2018 23:45Wawakilishi wa zaidi ya nchi 40 za dunia, walioshiriki kikao cha Baraza la Bidhaa la Shirika la Biashara Duniani WTO huko Geneva Uswisi, wamepinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kupandisha ushuru wa magari na vipuri vyake.
-
Neematzadeh: Marekani ndio inayokwamisha Iran kujiunga na WTO
May 09, 2016 00:11Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Iran amesema tatizo la Iran kujiunga na Shirika la Biashara Duniani (WTO) ni la kisiasa na linatokana na upinzani wa Marekani.