Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Dunia yaendelea kulaani hatua ya Israel ya 'kuigawa vipande' Somalia

    Dunia yaendelea kulaani hatua ya Israel ya 'kuigawa vipande' Somalia

    Dec 28, 2025 03:15

    Nchi za dunia na taasisi mbali mbali za kimataifa zimeendelea kulaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutambua eneo la Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.

  • Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia

    Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia

    Dec 28, 2025 00:05

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukiukaji wazi mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Somalia.

  • Somalia yaitaka Israel ifute uamuzi wake wa kuitambua Somaliland

    Somalia yaitaka Israel ifute uamuzi wake wa kuitambua Somaliland

    Dec 27, 2025 23:23

    Somalia imeitaka Israel kubatilisha hatua yake ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili. Somalia imelaani hatua hiyo na kuitaja kuwa kitendo cha "uchokozi ambacho kamwe hakitavumiliwa.

  • Israel yalaaniwa vikali kwa kutambua Somaliland kama nchi huru

    Israel yalaaniwa vikali kwa kutambua Somaliland kama nchi huru

    Dec 27, 2025 03:11

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kutambua eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.

  • UN: Robo ya wananchi wa Somalia wameathiriwa na ukame

    UN: Robo ya wananchi wa Somalia wameathiriwa na ukame

    Dec 23, 2025 23:04

    Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema ukame umeathiri zaidi ya watu milioni 4.6 nchini Somalia, karibu robo ya idadi ya watu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita

    Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita "takataka", na kwamba nchi yao "inanuka"

    Dec 04, 2025 23:06

    Matamshi ya dharau yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu watu na nchi ya Somalia yamesababisha wimbi la hasira na majibu makali.

  • Mbunge Ilhan Omar amjibu Trump kwa kumwita yeye na wahamiaji Wasomali

    Mbunge Ilhan Omar amjibu Trump kwa kumwita yeye na wahamiaji Wasomali "takataka"

    Dec 03, 2025 07:09

    Ilhan Omar, mbunge Muislamu anayewakilisha jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Democrat amejibu mapigo kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuanzisha tena mashambulizi ya matusi ya kibaguzi dhidi yake na jamii ya Wasomali wa jimbo la Minnesota.

  • WFP: Karibu robo ya wananchi wa Somalia wanakabiliwa na njaa kali

    WFP: Karibu robo ya wananchi wa Somalia wanakabiliwa na njaa kali

    Nov 20, 2025 23:32

    Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana ulitahadharisha kuwa karibu robo ya jamii ya watu wa Somalia wanakabiliwa na njaa kali huku watoto zaidi ya milioni 1.85 walio na umri chini ya miaka mitano wakiwa katika hatari ya kupata utapiamlo mkali.

  • Magaidi watatu vinara wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia

    Magaidi watatu vinara wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia

    Nov 09, 2025 22:50

    Jeshi la Somalia jana Jumapili lilifanya oparesheni kadhaa katika majimbo ya Bakool na Bay na kuuwa wanachama wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la al Shabaab.

  • Mapitio ya jinai za Magharibi; jinai za Marekani nchini Somalia

    Mapitio ya jinai za Magharibi; jinai za Marekani nchini Somalia

    Nov 04, 2025 23:06

    Marekani imefanya mashambulizi ya anga na operesheni za kijeshi nchini Somalia, na kusababisha vifo vingi vya raia, na akthari ya hatua hizo zimekuwa zikikosolewa na makundi ya kutetea haki za binadamu. Idadi halisi ya vifo inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko ile iliyotangazwa na Pentagon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS