-
25 wauawa, kujeruhiwa Somalia wakitazama fainali ya EURO 2024
Jul 15, 2024 10:53Kwa akali watu watano wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika shambulio la bomu linaloaminika kufanywa na kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Mogadishi, mkuu wa Somalia.
-
Somalia yamtimua balozi wa Ethiopia kutokana na mgogoro wa mkataba wa bandari ya Somaliland
Apr 05, 2024 02:20Somalia imetangaza kumfukuza balozi wa Ethiopia nchini humo huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo wa makubaliano ya bandari kati ya Ethiopia na eneo lililojitenga la Somaliland.
-
'Washauri wa kijeshi' wa Imarati, Bahrain wauawa na al-Shabaab Somalia
Feb 12, 2024 04:38Kwa akali wakufunzi watano wa kijeshi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain wameuawa katika shambulizi linaloaminika kufanywa na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Milipuko iliyotokea sokoni Mogadishu yauwa watu 10 na kujeruhi wengine 20
Feb 07, 2024 06:04Takriban watu 10 waliuawa jana baada ya milipuko kadhaa kutokea katika soko lililokuwa na msongamano mkubwa wa watu huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Al-Shabaab yashambulia kambi ya jeshi Somalia, makumi ya askari 'wauawa'
Jan 25, 2024 03:27Wanajeshi kadhaa wa Somalia wanahofiwa kuuawa katika shambulizi la kushtukiza la kundi la wanamgambo la al-Shabaab kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Somalia yaionya Ethiopia: Msikiuke mamlaka ya ardhi yetu
Jan 15, 2024 08:04Waziri Mkuu wa Somalia ametaka kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya nchi hiyo, wiki mbili baada ya kusainiwa mapatano baina ya Ethiopia na Somaliland yatakayoiwezesha Ethiopia kutumia Bandari ya Berbera ya Somalia iliyoko katika eneo hilo la Somaliland.
-
Askari 2 wa baharini wa US 'watoweka' pwani ya Somalia
Jan 13, 2024 11:51Mabaharia wawili wa Jeshi la Majini la Marekani wameripotiwa kutoweka wakiwa katika operesheni ya kijeshi Pwani ya Somalia; wakati huu ambapo taharuki imeongezeka baina ya vikosi vya Yemen na Marekani katika Bahari Nyekundu.
-
OIC yataka kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala Somalia
Jan 05, 2024 02:32Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa mwito wa kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya Somalia, kufuatia kusainiwa mapatano baina ya Ethiopia na Somaliland yatakayoiwezesha Ethiopia kutumia Bandari ya Berbera ya Somalia iliyoko katika eneo hilo la Somaliland.
-
Wanamgambo 80 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia
Dec 27, 2023 06:52Wanachama wasiopungua 80 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameuawa katika operesheni ya Jeshi la Taifa la Somalia katika mkoa wa Mudug, kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Makumi ya magaidi wa al Shabaab waangamizwa Somalia
Dec 25, 2023 02:42Wizara ya Ulinzi ya Somalia imetangaza kuwa makumi ya magaidi wa kundi la wanamgambo wa al Shabaab wameangamizwa kusini mwa nchi hiyo.