-
Shambulizi la bomu Somalia laua waziri wa zamani
Feb 16, 2016 04:30Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Somalia ameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na kundi la wanamgambo wa al-Shabaab. Shirika la habari la Reuters limemnukuu Sheikh Abdiaziz Abu Musab, msemaji wa kundi hilo la kigaidi ambaye amekiri kuwa wao ndio waliomuua Muhyiddin Muhammed katika shambulizi la bomu la kutegwa garini.
-
Tahadhari ya Umoja wa Afrika kwa wanamgambo wa al-Shabab
Feb 12, 2016 04:36Mjumbe maalumu wa Umoja wa Afrika nchini Somalia ametahadharisha kuhusiana na harakati za kundi la kigaidi la al-Shabab.