-
Ahmad Bahar: Quds ni mji mkuu wa milele wa Palestina
Oct 06, 2018 11:56Naibu Spika wa Bunge la Palestina amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel haiwezi kubadilisha ukweli wa mambo kwani Quds utaendelea kubakia kuwa mji mkuu wa daima wa Palestina.
-
Spika wa Bunge la Syria: Iran itakuwa pamoja na Syria katika kuikarabati nchi hiyo
Aug 27, 2018 23:02Spika wa Bunge la Syria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama ambavyo tangu mwanzoni mwa mgogoro wa nchi hiyo ilikuwa pamoja na wananchi na serikali ya Damascus, itashiriki pia katika ukarabati wa taifa hilo.
-
Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa
May 25, 2018 02:34Spika wa Majilisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hayana mantiki na yanaonesha kuwa waziri huyo hana ukomavu wa kisiasa.
-
Waziri wa zamani wa ulinzi wa Somalia achaguliwa kuwa Spika wa Bunge
Apr 30, 2018 23:45Wabunge wa Somalia jana walimchagua Mohamed Mursal Abdirahman, waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo kuwa Spika mpya wa Bunge.
-
Larijani: Ni jukumu la nchi za Kiislamu kufanya juhudi za kupunguza hitilafu
Jan 15, 2018 10:56Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama za maadui waliokula kiapo dhidi ya Uislamu kwa ajili ya kupenya na kuzusha hitilafu miongoni mwa Waislamu na kusisitiza kwamba, ni jukumu la nchi za Kiislamu kuzuia kuenea hitilafu na mizozo katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran
Sep 01, 2017 10:47Spika wa Bunge la Afrika Kusini amewasili Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Bunge limeridhia kuvuliwa unachama wabunge 8 wa CUF
Jul 26, 2017 12:41Siku moja baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kupokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF Taifa anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili, Prof. Ibrahim Lipumba inayoeleza kuwafukuza uanachama Wabunge wanane wa Viti Maalum na Madiwani wawili, Bunge limeridhia.
-
Spika wa zamani wa Tanzania afariki dunia, Rais Magufuli atoa mkono wa pole
Nov 07, 2016 04:33Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha spika wa zamani wa bunge la nchi hiyo, Samuel Sitta aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumaini alikokuwa anapatiwa matibabu.
-
Spika wa Bunge la Kenya awasili Tehran kwa ziara rasmi
Sep 23, 2016 04:37Spika wa Bunge la Kenya amewasili leo hapa mjini Tehran akiuongoza ujumbe wa nchi yake kwa shabaha ya kufanya ziara rasmi
-
Spika wa Bunge la Iran asisitiza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia (JCPOA)
Apr 28, 2016 10:46Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi zinazounda kundi la 5+1 yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).