-
Larijani: Uchaguzi wa Bunge umezidisha hadhi ya Iran kimataifa
Feb 29, 2016 04:47Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa mahudhurio makubwa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi uliofanyika Ijumaa iliyopita hapa nchini yamezidisha hadhi ya Iran katika nyanja za kimataifa.
-
Larijan: Iran inataka kuona umoja wa kiistrataji miongoni mwa Waislamu
Feb 28, 2016 04:24Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema moja ya sera za Jamhuri ya Kiislamu ni kuona umoja na mshikamano wa kiistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu unadumishwa.