-
Serikali ya mpito Sudan yafikiria kujitoa kwenye vita vinavyoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen
Oct 10, 2020 04:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amesema, serikali ya mpito ya nch hiyo inafanya juhudi kuhakikisha inawaondoa askari wa nchi hiyo wanaoshiriki kwenye muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Ikhwanul Muslimin Sudan yazikosoa baadhi ya nchi za Kiarabu kwa kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 09, 2020 04:28Kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Sudan amekosoa hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, hatua hiyo ni usaliti kwa kadhia ya Palestina.
-
ICC kuendelea kumzuilia kinara wa washukiwa wa jinai za kivita Darfur
Oct 08, 2020 23:08Majaji wa Kitengo cha Rufaa cha Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wamepasisha uamuzi wa kuendelea kumshikilia kinara wa kundi la wanamgambo wanaoshukiwa kuhusika na jinai za kivita katika eneo la Darfur nchini Sudan mwaka 2003.
-
Umoja wa Afrika wapongeza mapatano ya kihistoria ya amani Sudan
Oct 05, 2020 01:10Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat amepongeza mapatano ya kihistoria ya amani baina ya makundi hasimu nchini Sudan.
-
Umoja wa Mataifa wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan
Oct 04, 2020 08:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili kutiwa saini makubaliano ya amani baina ya serikali ya Sudan na makundi makuu ya waasi.
-
Kamanda wa jeshi la Ethiopia: Tunaweza kuzima shambulio dhidi ya al Nahdha
Oct 01, 2020 07:04Kamanda wa Jeshi la Anga la Ethiopia amekariri tena kwamba nchi yake ina uwezo wa kuziuia shambulizi lolote dhidi ya bwawa na Renaissance (al-Nahdha) linalojengwa juu ya maji ya Mto Nile ambalo limesababisha mgogoro mkubwa baina ya nchi hiyo na nchi za Misri na Sudan.
-
Baraza la Fiqhi la Sudan laharamisha kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 30, 2020 23:42Baraza la Fiqhi ya Kiislamu la Sudan limesema kuwa haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Muamala wa Khartoum-Washington kwa ajili ya kuondoa jina la Sudan katika orodha ya waungaji mkono ugaidi
Sep 28, 2020 04:47Katika miezi ya karibinu Marekani imefanya jitihada kubwa za kuzishawishi nchi za Kiarabu na Kiislamu, ikiwemo Sudan, kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Chama cha Umma cha Sudan: Kufanya mapatano na Israel ni kujisalimisha kwa mabeberu
Sep 27, 2020 23:22Mkuu wa Chama cha Umma (The National Umma Party) nchini Sudan amesema kuwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kudhamini malengo ya kampeni za uchaguzi ya Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sudan: Kuondolewa katika orodha ya ugaidi kusihusishwe na kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 27, 2020 04:28Waziri Mkuu wa Sudan amesema taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika halitaki suala la kuondolewa jina la nchi hiyo katika orodha ya ugaidi ya Marekani lifungamanishwe na kadhia ya kuanzisha uhusiano wa kidoplomasia na utawala haramu wa Israel.