-
Damascus yakosoa utendaji dhaifu wa UN katika kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi
Feb 09, 2023 04:28Mkurugenzi wa Shirika la Huduma za Kiraia na Misaada la Syria amekosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa katika kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi na kutangaza kwamba maelfu ya familia za Syria wamepoteza makazi na nyumba zao kutokana na janga hilo.
-
Venezuela yaonyesha mshikamano wake kwa Uturuki na Syria; yatuma misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa zilzala
Feb 08, 2023 22:49Kikosi cha waokoaji 52 wa Venezuela na wahudumu wa idara ya zima moto waliondoka jana Jumatano Caracas wakielekea katika nchi za Uturuki na Syria kwa ajili ya operesheni ya uokoaji wa waathirika wa tetemeko la ardhi lililozikumba nchi hizo.
-
Magaidi karibu ya 20 wa Daesh wametoroka jela Syria kufuatia tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 08:31Takriban magaidi wa Daesh 20 waliokuwa wamefungwa jela katika gereza moja nchini Syria jana walitoroka baada ya kufanya uasi kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo na Uturuki jana asubuhi.
-
Syria: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani vinazidisha maafa ya tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 03:43Kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea kaskazini ya Syria, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amesema, athari za vikwazo vya upande mmoja vya Marekani zinaongeza maafa ya janga hilo la kimaumbile.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu Uturuki, Syria
Feb 06, 2023 23:34Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Uturuki na Syria, kufuatia mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi iliyoyakumba maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria.
-
Indhari ya UN: Njaa inatishia maisha ya mamilioni ya Wasyria
Jan 29, 2023 04:18Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetahadharisha kuhusu hatari inayotishia maisha ya mamilioni ya wananchi wa Syria kutokana na ukosefu wa chakula na njaa.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama
Jan 24, 2023 23:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Syria ni thabiti na kwamba umejengwa katika misingi ya moyo wa muqawama na mapambano ya wananchi wa mataifa haya mawili.
-
Kambi ya jeshi ya Marekani yashambuliwa kwa droni nchini Syria
Jan 21, 2023 06:52Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (CENTCOM) imekiri kuwa, moja ya kambi za kistratejia za nchi hiyo huko kusini mwa Syria imeshambuliwa kwa ndege zisizo na rubani (droni).
-
Syria yalaani vikwazo vya kikatili vya US dhidi ya sekta ya afya ya nchi hiyo
Jan 17, 2023 09:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeilaani vikali Marekani kwa kulenga sekta ya afya ya nchi hiyo ya Kiarabu kwa vikwazo vya upande mmoja.
-
Russia: Vikwazo vya Magharibi vimeshadidisha hali mbaya ya kibinadamu Syria
Jan 11, 2023 07:39Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema Wamagharibi wanabeba dhima ya kushtadi hali mbaya ya kibinadamu nchini Syria kutokana na vikwazo vyao vya upande mmoja.