-
Utafiti: Uislamu ndiyo dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani
Aug 17, 2016 14:06Utafiti uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew Research Center cha Marekani umeonyesha kuwa, Uislamu utasalia kuwa dini yenye kukuwa kwa kasi zaidi duniani katika kipindi cha miongo kadhaa ijayo.