• Tahadhari kuhusu kutoweka utajiri wa Afrika

    Tahadhari kuhusu kutoweka utajiri wa Afrika

    May 03, 2016 02:28

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini ameonya kuhusu bara la Afrika kupata hasara ya mabilioni ya dola kutokana na utajiri wa Afrika kuondolewa kinyume cha sheria barani humo.