• Ramadhani, Dhifa ya Mwenyezi Mungu (9)

    Ramadhani, Dhifa ya Mwenyezi Mungu (9)

    Mar 17, 2025 06:21

    Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kama mvua laini ya msimu wa kuchipua inayonyeshea jangwa kavu na lenye kiu. Hebu na tuyaloweshe majangwa ya roho zetu kwa mvua hii yenye uhai.