-
Wanajeshi wa serikali wauawa kaskazini mwa Mali
Apr 24, 2016 14:48Duru za usalama nchini Mali zimesema kuwa, watu wenye silaha wamewavamia wanajeshi wa serikali kaskazini mwa nchi hiyo na kuua wanajeshi wawili.
Duru za usalama nchini Mali zimesema kuwa, watu wenye silaha wamewavamia wanajeshi wa serikali kaskazini mwa nchi hiyo na kuua wanajeshi wawili.