-
Amir- Abdollahian: Hakuna ubunifu wowote wa jadi na mkubwa uliowasilishwa na Marekani
Feb 06, 2022 12:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hakuna ubunifu wowote wa jadi na mkubwa uliowasilishwa na Marekani kwa ajili ya kuondoa vikwazo na kurejea katika mapatano ya JCPOA.