-
Watoto wenye matatizo ya afya ya akili wazidi kuongezeka nchini Uingereza
Jan 24, 2025 06:57Idadi ya watoto wanaokabiliwa na matatizo ya afya ya akili nchini Uingereza inaripotiwa kuongezeka na kuibua wasiwasi mkubwa katika jamii ya hiyo ya bara Ulaya.
-
WHO: Mgogoro wa afya ya akili, ndilo janga 'lijalo' duniani
May 10, 2024 02:10Afisa mwandamizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuwa, dunia ipo katika hatari ya kukumbwa na janga la matatizo ya afya ya akili.
-
Matatizo ya akili ya wanajeshi wa Marekani yaripotiwa kuongezeka baada ya kuondoka Afghanistan
Sep 03, 2021 08:09Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetangaza kuwa, imechukua uamuzi wa kuzidisha huduma za tiba ya matatizo ya akili ya wanajeshi wa nchi hiyo kutokana na kuongezeka hisi ya kukosa matumaini na magonjwa ya kinafsi na kiakili ya wananjeshi hao yanayosababishwa na kushindwa kijeshi huko Afghanistan.
-
WHO: Watu Milioni 50 wanaugua ugonjwa wa kusahau duniani
May 15, 2019 03:41Shirika la Afya Duniani WHO limesema watu takriban milioni 50 kote ulimwenguni wanaugua ugonjwa wa kusahau (Dementia) huku idadi hii ikitabiriwa kuongezeka mara tatu ifikapo mwaka 2050.
-
Maradhi ya kisaikolojia yaongezeka kati ya Wazayuni kutokana na ngoma ya vita ya Netanyahu
May 09, 2019 04:27Kanali ya 12 ya utawala Kizayuni wa Israel imekiri kwamba kutokana na vita vya hivi karibuni, maradhi ya kisaikolojia na kiroho yameongezeka kati ya walowezi wa Kizayuni na kwamba sasa wanatibiwa kwa njia ya mazungumzo ya video.